Tuwe wakweli kama wa KQ (?)

Hehehe wala sijaenda ofutopiki!Nimeonyesha wapigwaji wanavyokua nje ya ulingo! Mmh hata sijui mnaongelea nini kule!Tangulia nikufuate basi!
nawahi soccer kwanza, likimaliza soka saa kama kumi na moja za uswahilini nitalejea na nitahakikisha na wewe unanidunda japo kidogo.
 
...kina dada nadhani mpaka sasa mmejibiwa vizuri tu na wachangiaji waliotangulia.
Mwanaume hashitaki! Haimo kwenye katiba yetu kama alivyosema Klorokwini.
Unavumilia tu, yakishindikana basi, ..you call it a day!
Sio kuitisha Press Conference kama wenzetu wa KQ.

...si unamuona huyo jamaa alivyomvumilivu? polisi wamepita wala hawakujua anachukua kipondo!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mbu huyu jamaa alikuwa ashatia ulabu wa kutosha ndo maana kachapwa kama kuku :lol:
 
Last edited by a moderator:
...ngoja niwa beep kina MTM, BAK, Aspirin, Klorokwini, Teamo na wengineo waje watoe kauzoefu hapa.
Naamini watajielezea kwa ufasaha zaidi wapi tupelekapo haya malalamiko.
'Fingers Crossed,' I hope none will mention Nyumba ndogo!

Hapo kwenye nyekundu ndipo malalamiko hupelekwa ila - HAWASEMI KAMA WANAPIGWA! HUSEMA KUWA WAKE ZAO SI LOLOTE SI CHOCHOTE! HAHAHAHA

MBU bisheni!
 
Sasa DA unataka nikila kichapo niwaambie.... ndo maana tunasema kofi la mpenzi haliumi ha ha haaaaa:lol:

...ha ha ha, Nice one Babu Lao!

Hapo kwenye nyekundu ndipo malalamiko hupelekwa ila - HAWASEMI KAMA WANAPIGWA! HUSEMA KUWA WAKE ZAO SI LOLOTE SI CHOCHOTE! HAHAHAHA

MBU bisheni!

...isssshhhhh, duh!...sasa WoS nawe ndio nini unaandika kwa herufi kubwa bana? watu watasikia!
haya mambo kimya kimya mydear, mnh! ---Aibu!---
 
Mkuu mbu huyu jamaa alikuwa ashatia ulabu wa kutosha ndo maana kachapwa kama kuku :lol:

...weweee, unamuona Mdada mwenyewe alivyoshiba utadhani dada zangu wa kinyakyusa?
Mw'mke kama huyu akiolewa na watani zangu wapare au kina mkude (waluguru) ujue 'balance of power' ndani ya nyumba inaegemea mrengo wa kushoto!

Lakini kwa wenzetu KQ, mama Kibaki unamuona mdogo mdogo lakini weeeeee....mhariri wa The Nations alikiona cha moto. Huyo jamaa wa Video ya kwanza, wanatoshana lakini ndio hivyo tena...

...disturbing acha tu!
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo ya kubamizana mimi wala siyafagilii kabisa iwe anayebamizwa awe ni mama/baba. Kama mmehitilafiana kaeni chni muongee matatizo yenu na kutafuta namna ya kuyatatua siyo kupigana na kuongeza chuki katika ndoa/mahusiano yenu na si ajabu hata kutoana ngeu au kupeana ukilema.

YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
 
Sasa DA unataka nikila kichapo niwaambie.... ndo maana tunasema kofi la mpenzi haliumi ha ha haaaaa:lol:

Bora umejisemea ukweli mwaya haliumi wakati umetimua mbio?? Ha ha ha ha ha umenichekesha kweli yaani pole mwaya
 
...kina dada nadhani mpaka sasa mmejibiwa vizuri tu na wachangiaji waliotangulia.
Mwanaume hashitaki! Haimo kwenye katiba yetu kama alivyosema Klorokwini.
Unavumilia tu, yakishindikana basi, ..you call it a day!
Sio kuitisha Press Conference kama wenzetu wa KQ.

...si unamuona huyo jamaa alivyomvumilivu? polisi wamepita wala hawakujua anachukua kipondo!

Mheshimiwa Moskwito, waambie hawa vijana wa siku hizi. Hakuna sehemu ya wanaume kushtaki wakidundwa na wanawake zao. So they better get prepared kujibu mapigo na kushinda mapambano au wakubali kuwa punching bags na mambo yaishie ndani.....

Mwanaume kushtaki kapigwa na mkewe hata kwa Mungu ni DHAMBI (nimevisahau vifungu vya misahafu, ningeviweka hapa....LOL)
 
Last edited by a moderator:
gud moning fellow tablet.
hapo red sio aibu tu bali hata mungu ametuita vichwa vya familia ili ikibidi turushe vichwa. sasa kichwa inakuwaje kiwekwe kibano na shingo bana. kwa ufupi mwanaume ukitwangwa na mwanamke inabidi ukafungue duka la kuuza kanga tu hakuna shuhuli nyengine itakayokufaa.

Mzee wa Famasi,

Nimekusoma vema. Naona ulikuwa unaandika wakati unamhudimia mgonjwa wa malaria. Konklusheni ni kwamba: Mwanaume hapaswi kupigwa na mwanamke. Mwanaume yeyote anayedundwa na mwanamke basi huyo si mwanaume bali MVULANA.

Ngoja nirudi kitandani kumbonji, damn umri unakimbia huu!
 
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.

ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?

matatizo yetu tunaya-handle wenyewe............. makofi na bakora unasozikia majumbani ni sehemu ya solutions................., so uwe muangalifu, mwanaume haendi polisi bana,.................... bora talaka kuliko kwenda polisi..................
 
Sipati picha mwanaume anapigwa na mwanamke, ina maana hana nguvu au anamuonea huruma?
 
Back
Top Bottom