Pole dada. Ila la mke wa pili sikushauri. Maana hapa sisi tuko wawili yani husband na wife bado songombingo; sasa nambie muwe na uhusiano wa watu watatu; mume mmoja wake wawili; si kutafuta maradhi huko dada maana hapo ina maana umemuamini mume wako na mke mwenzio.
Mwache mwenzio apate ndoa naye. hata kama atakua mke wa saba, cha muhimu atimize azma yake ya kuolewa.