Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

Inategemea na situation, atleast unajua uko na mtu wa namna gani na hujiachii asilimia zote, na kama kumkatalia kamahumtaki pia inakuwa ni uamuzi wako, kwa vie ukweli unakuwa nao

Angekwambia ukweli ungemchuna sana.
Hapo yenyewe tu bado ulimchuna akulipie gharama za masomo. Kwa hiyo acha na yeye ajifaidie.
 
Hus ni kweli. Ni rahisi sana kumchunguza mpenzi wako pale mnapoanza mapenzi kwani huwezi kupenda na kumzimikia mtu ghafla kwa maana ya kuingia kichwa kichwa. Muda wa mwanzo mwanzo wa uhusiano kila mtu anakuwa amekaa kimachale machale.

Ila ndio hivyo kuna watu hawawezi kujifunza mpaka wakosee (learners through mistakes) na kuna wengine wanajifunza kutokana na makosa ya wenzao (learners through other's mistakes) which is a best way to learn.

Porojo tu.
Mnadanganyika kila siku, halafu kujifanya uhodari wa kushauri.
 
badilisha msimamo.kaa chini muyamalize na mmeo.yaani kuoa tu ndo usahau fadhira zote.ongea na moyo wako kumbuka penzi lenu lilivyokuwa moto moto.piga moyo konde.kijana kaonyesha nia na katubu.huwezi jua kwanini kaoa.maisha ni mzunguko.kama siku hiyo alikuambia na bado alivyorudi jioni ukalala nae,unafikiri kuna nini tena?inawezekana wewe ni wapili kwenye ndoa lakini wa kwanza moyoni.mia

Halafu bado anajifanya anataka ushauri.
 
Jitu kama hili litakuwa smart sana huwezi kulikamata, mweeee maumivu nahisi

Huwa hamuwakubali watu wakweli nyie.
Acha muendelee kuumizwa kwani mnapenda makuu mno.
We humuoni mtu alivyo kiuchumi, hujiulizi huko nyuma koooote alikopita hajapata mtu kweli. Tamaa zenu zinawaponza.
 
Mia, fadhila gan sasa wakati jamaa hakuwa mkweli, this means hata walichokuwa nacho wakadhani ni penzi ni uongo mtupu

Cha muhimu jamaa kapata alichokipata, MBWECHE. na binti pia kapata alichokipata, MAFAO na gharama za masomo.
Mnapenda sana kukuta mambo tayari yapo mazuri.
Hampendi kuanza na mtu kapuku ili mjenge wote maisha.
Dawa yake ndio hiyo.
 
Nafikiri mazingira pia yalinifanya nimwamini, sababu alikuwa free chuoni na yuko mdogo yaani huwezi fikiria sana, na mapenzi ya dhati yalionekana machoni kabisa, labda ndio fake enyewe ila nahisi kama alikuwa real ,inakuwa raahisi kugundua kama family yake ingekuwa around

Ulistahili ulichokipata.
Kwani unaonekana ulikuwa unajilazimisha kudanganywa.
 
Nimeipenda hii.
Naona toka mwanzo wa uumbaji wa dunia!
Ilianza kwa Mama yetu Hawa.
Akamzawadia udanganyifu Adam. Udanganyifu wa Hawa kwa Adamu ndo ulitumaliza kabisa, hadi sasa kero tu.
Achana na mawazo ya kuwa mke wa pili, hata kama utaona umri wako unaenda.

Natamani niku-pm

Ndo ameshajitangaza hivyo kuwa yuko singo na anatafuta mwenza. Changamkia tenda hiyo.
 
<br />
<br />
ni sahihi kabisa, tena huwa namwambia unanidanganya kimoyo moyo. Nikihisi unanidanganya muda si mrefu napata evidence kuwa ulinidanganya. Ni ngumu kuniamini ila habari ndio hiyo.

Watu kama nyie ndo huwa mnapatikana kirahisi mno.
 
Pole. Fungua ukurasa mpya kwenye maisha na mapenzi kwa ujumla. Ukisikia ukubwa dawa ndio huo sasa. Yaani ndio umeshakuwa mkubwa sasa. Ila namwonea huruma huyo atayefuata baada ya hapo. Moyo ukishajeruhiwa huachiwa vidonda, vidonga vikipona huacha makovu. Sasa kwenye kovu mara nyingi huwa hakuna hisia halisi kama zile zilizopo kwenye sehemu ambayo haina kovu.

Ndio umeshakomaa hivyo Sara. Songa mbele, picha la maisha ndio kwanza limeanza!

Vile vile ameshatumika sana, kwa hiyo jamaa wa watu atakayefuatia maskini atakuta kitu kimetumika sana. Uonevu huu.
 
Pole dada kwa yaliokukuta muombe mungu akupe ujasiri utafanikiwa uatapata mwanaumwe wa kweli mwenye mapenzi ya kweli huyo uliekuwa naye hakuwa na mapenzi ya kweli kwako alitaka kukuchezea na kukupotezea tu....

Na amefanikiwa kumchezea.
Atakaefuata nae hivo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom