Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Mwaka jana Desemba 29,ni Mtu mzima anaheshimika sana kwa nature ya Kazi yake.Na anafamilia Nzuri tu.

Mida kama hii wapenda ku view status za watu.
Kuna status ,ziliwekwa kwa huyo Mzee ziliwekwa Picha 12 zikianza kuonesha

Mwanamke (Binti) akianza kuonekana sura,kifua maziwa wazi,Tumbo na mwishoni akajipiga kiuno na Kipochi manyoya kikiwa kimelowa.
Picha hizo zikaambana na picha kali ya kufunga mwaka ikiwa Binti Kalala kifuani kwa Mzee wote wakiwa Watupu.

Mpaka leo hajawahi kuwa sawa
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia kiwanja, kwa bahati mbaya Ile msg niliituma kimakosa kwenda namba ya waif. Sikutilia maanani nikaendelea na shughuli zangu ofisini. Baadaye nikajiuliza mbona huyu mchepuko nimemuahidi kiwanja lakini hajibu msg? Eeh bwana we, kwenda kuangalia vizuri kumbe nimechanganya madesa, msg imeenda home port kwa waif.

Nikaanza kupanik fasta nikatoa udhuru, kipindi kile hakuna bodaboda, Ni daladala, niko Kurasini ofisini naitafuta Kimara home. Nikapanda la Kariakoo kutoka Kurasini, Kariakoo nikapanda la Kimara, Mimi naona gari haitembei. Kufika Kimara nikashuka kwenda home fasta kuliko upesi. Kijasho kimenitoka nakuta waif Yuko tu sitting room anaangalia tamthilia ananiuliza mbona uko hivyo, namuuliza nikovipi, akasema hauko sawa. Nikazama chumbani na kuikuta simu ya waif imetulia kumbe Ile msg hajaisoma, Nikafuta Ile msg huku nacheka kimoyo moyo. Nikivyotoka nikamuambia siku hiyo asipike. Surprise inamsubiri.

Msala Sasa ukabaki kwa mchepuko maana Ile msg niliyokusudia kwa waif ilienda kwa mchepuko. Lkn nikasema hata anijie juu si yeye ni Malaya tu Bora nimeokoa ndoa. Just imagine waif Angeona nimeisifia papuchi ya mchepuko kwamba Ina viwango, ningekua mgeni wa Nani miye?
Chai

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kipindi kile kabla ya simu za touch. Zilikuwa zile Nokia 3310, nilimuandikia mchepuko msg ndefu kuhusu alivyonipa Jana yake, kuhusu papuchi yake ilivyokuwa ya viwango na maujinga mengine mengi na kitu nitakachomfanyia ikiwa Ni pamoja na kumnunulia
images (2).jpeg
 
Mm sijawahi kukosea kutuma hata nikikosea ni zakawaida sana ika kwangu zishaingia 2 moja ya binamu nyingine ya dada

Yabinamu ilikua haina maajabu saana walikua wanabembelezana tu

Ya dada sasa alikua anamsifia jamaa kua na mb.. mkubwa na anajua kuutumia ipasavyo blabla kibao
Na mimi nikamjibu ,,ulifika kileleni mara ngapi? Ina unaonekana ulifurahia sana hongera,, yaani huyo sista mwaka wa nane sasa hatujawahi onana hua tunapishana tu yeye ndie anaona aibu ila mm nilitamani nimle pia
 
Muwe mnamiliki smartphone mbili na muhakikishe zimejaa chaji na bando za internet za kutosha zipo. Kama mnaona simu hizo ni kubwa nunueni zile ndogo zinazoingia mifukoni bila shida
Kwanini uwe na simu janja mbili zenye matumizi ya aina moja kisa kukwepa vitu kama hivi.? Cha msingi na maana ni kutokuwa na video za porno kwenye simu yako full stop. A gentle man can't keep videos of bad contents with him, simu ni yako lakini sio muda wote umeishikilia mkononi, kuna mtu kuazima, watoto wanavyopenda kwenda gallery. Be smart
 
Mm sijawahi kukosea kutuma hata nikikosea ni zakawaida sana ika kwangu zishaingia 2 moja ya binamu nyingine ya dada

Yabinamu ilikua haina maajabu saana walikua wanabembelezana tu

Ya dada sasa alikua anamsifia jamaa kua na mb.. mkubwa na anajua kuutumia ipasavyo blabla kibao
Na mimi nikamjibu ,,ulifika kileleni mara ngapi? Ina unaonekana ulifurahia sana hongera,, yaani huyo sista mwaka wa nane sasa hatujawahi onana hua tunapishana tu yeye ndie anaona aibu ila mm nilitamani nimle pia
Kwahiyo unatamani kumla dada yako
 
Bro mmoja kanipigia simu nimtumie CV kuna mchongo wa dharula nikazama kwenye simu sina attachments yoyote nikakumbuka kuna sister mmoja wa stationary alienipangia hio CV nikampigia kumuomba anitumie CV yangu muda si mrefu akanitumia PDF sababu nlikua na wenge la mchongo siku preview nika download na ku forward baada ya dakika kadhaa yule bro akaniambia "nmeipata CV yako kweli wewe ni mwamba" nikashituka kuna nini isitoshe yule brother sina mazoea nae ikabidi niende kuangalia hio CV aisee mapicha ya porn kama mia hivi mbaya zaidi mengi yao ni anal nli ishiwa pose nikampigia simu yule sister nikamwambia umetumia nini hiki? akasingizia kuna mtu alikua anatumia PC ndio kafanya hivyo basi nikaona mambo yasiwe mengi akanitumia CV nikamtumia yule brother na maelezo mengi bahati nzuri alinielewa
 
Mi visa vyangu vyote nilipona.

Mara kwanza nilituma naked picha zamani kwa kimchepuko changu kutiana hamasa ili next week tumeet, so nikaselect picha vizuri nikatuma kwa kutumia option ya kushare from gallery to whatsp, nisijue kumbe nimeopt kushare startus, nikazima data nikaenda zangu kuoga makusud ili nimwachie kamda kakua excitement ili nikirudi nikute txt za wow wow kutoka kwa mchepuko. Nikatoka kuoga nikanyoosha nguo zangu safi nikamaliza nikatulia kuwasha data nikute pongezi zangu nashangaa hola, nikaingia watsp juu kwenye convo ipo ya mtu mwingine sio mchepuko, ndo waswas wasi ukanipanda ghafla kutafuta nimetuma kwa nani, nikatafuta uk mwili unanza kutoa jasho ndo kuangalia status naona nimepost nilisikia utumbo unajikunja mikono inatetemeka nikaingia kuangalia views nikakuta zero bas nikafuta chap, ila nikakaa nikajiuliza mbona views wako zero na nimepost mda mrefu! Kuja kuangalia kwenye privacy kumbe niliweka “share only with” ndo kiliniokoa maana niliyemselect hakua mtu wakuingia online mda mwingi af ni mshikaji so ata angeona isingekua issue sana ndo ikawa pona pona yangu.

Mara nyingine kuna ID fake ya zamani natumia umu sasa kuna siku nashare picha kwenye uzi wa mshana wa mapishi kumbe JF app inatabia ukiwa umenda kuselect picha upande wa gallery inaselect na picha ambazo hujaziselect. Nilikua naselect chapchap nipost sasa wakati nataka kubonyeza done ndo nastuka mbona picha kama zimekua nyingi kuangalia vizuri nikakuta kuna picha zangu nyingi tuu zimejiselect af kibaya umu ninawatu kibao nao fahamiana nao wapo JF so ningejikaanga mwenywe kujiexpose kwa wadau nashukuru mungu haikutokea na tokea siku iyo niko makini kupita kiasi kupost kitu umu JF.
 
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.

Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x (nilikuwa nimejoin group la connection) na ikajipost status, ebwana ee ukisikia siku ya nyani kufa miti inateleza basi ndio hiyo, yaani nikawa naona naenda kuua heshima yangu, Nilipaniki, kichwa hakikutulia yaani nikaanza kushikilia power button nizime simu ili niizuie, nikabadili maamuzi niweke airplane mode kuzuia data lakini naingia whatsapp naona ishaenda, nilidata zaidi nikaondoa airplane mode niwashe data niwahi kuifuta video lakini ghafla simu ikazima.

Tumbo lilizunguka kwa spidi ya ajabu akili iliniviriga nikawa nimedata nawaza itakuwaje sasa, bimkubwa anaeniona mimi mtoto pekee nilietulia atanichukuliaje? Wadogo zangu Je ? Majirani vp? Yani kiufupi watu tunaoheshimiana wakiiona nimekwisha... , Na hapo kumbuka umeme umekata mtaa mzima hakuna umeme.

Nilitoka nje kama nilivyovaa kikaptula, kivesti na kandambili, nikawahi sehemu ya boda boda nikaikuta moja tu nae kaniambia kuna mteja anamsubiri, kwakweli sikuweza kusubiri boda mwengine, nikamwambia ntampa elf 5 tena sehemu yenyewe ya karibu ni ofisi ya kamari / kubeti huwa wanawasha jenereta.

Yaani boda nikawa namkaripia aongeze mwendo maana naona kama pikipiki haiendi,

Tukiwa njiani nikakumbuka nilisahau chaja maweee!! nilienda duka la njiani niliambiwa chaja elf 10 wala siku fikiria mara mbili

Nafika ofisi za kubeti hawakunielewa kuchaji simu nikatoa hapo hapo elf 5 ambayo ilibidi iwe ya boda boda nikasema tutajuana mbele kwa mbele.

Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.😂😂

Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
 
Yaani nikaingia WhatsApp nakuta kuna views kama 3 tayari ila kwa bahati nzuri zilikuwa za marafiki wa viwanjani, kwenye inbox wanaomba full clip.

Boda naye akanitwanga zaidi kwa kisingizio alikuwa na mteja mwengine nimevurugia ratiba.
 
Back
Top Bottom