hapo nimekusoma thanx, basi ndo mana kuna chuo binafsi tulifanya usaili na m2 mwenye 3.0 nikashangaa sana.Vigezo vya TCU ni 3.5 (Upper second) ila Vyuo pia vina taratibu zake mfano vyuo vyote vya serikali ni 3.8 isipokuwa Mzumbe ni 3.5 na baadhi ya kozi za sayansi SUA na ARU pamoja na MUST wao wanaweza kuchukua 3.5. Vyuo vya private vingi vinachukua 3.5 na chini ya hapo (mara chache hadi 3.3)
Vigezo vya TCU ni 3.5 (Upper second) ila Vyuo pia vina taratibu zake mfano vyuo vyote vya serikali ni 3.8 isipokuwa Mzumbe ni 3.5 na baadhi ya kozi za sayansi SUA na ARU pamoja na MUST wao wanaweza kuchukua 3.5. Vyuo vya private vingi vinachukua 3.5 na chini ya hapo (mara chache hadi 3.3)
Hizi nafasi huwaga hazijai...,kila mwaka wanachukua je hawatoshi? Mishahara yao ikoje waungwana?
haziwezi kujaa kama chuo kitaendelea kuoperate. Kumbuka hao tutors ndo wanaopanda mpaka kuwa lecturers na kuendelea. Akipanda mmoja tiyari ni gap! Lakini pia katika maisha ya kawaida kuna mengi! Kuhama,kufa,kustaafu na mengine.Hizi nafasi huwaga hazijai...,kila mwaka wanachukua je hawatoshi? Mishahara yao ikoje waungwana?
Ubishi!!!! Ubishi!!! Ubishi, unafikiri kwa kusema tunaidhalilisha Mzumbe. Rafiki yangu yuko HRM ana 3.5 mwingine alisoma Econmics pia anai 3.6. Sijawahi kuongea bila data. Hebu futa kauli yako kwamba nimefanya generalization. Siku nyingine vitu vilicyokuzidi uwezo usichangie KapilimeUmenena vyema, lakin sio kweli kwamba Mzumbe hawazingatii kigezo hicho kwa kuchukua 3.5 ila ni kwa baadhi ya kozi kama ilivyo katika vyuo kama SUA. Sor for Mzumbe ni SHERIA TU kuna wakati walichukua hadi 3.5. Lakin generalization uliyoifanya sio sahihi