Tutorial assistant post

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
wadau wa elimu nafasi za tutorial assistants zina vigezo vilivyo wekwa na TCU? Naomba nijuzwe mana vyuo vingine wanasema upper second wengine wanasema 3.8. What is the stand?
 
Vigezo vya TCU ni 3.5 (Upper second) ila Vyuo pia vina taratibu zake mfano vyuo vyote vya serikali ni 3.8 isipokuwa Mzumbe ni 3.5 na baadhi ya kozi za sayansi SUA na ARU pamoja na MUST wao wanaweza kuchukua 3.5. Vyuo vya private vingi vinachukua 3.5 na chini ya hapo (mara chache hadi 3.3)
 
hapo nimekusoma thanx, basi ndo mana kuna chuo binafsi tulifanya usaili na m2 mwenye 3.0 nikashangaa sana.
 
Vigezo vya TCU ni 3.5 (Upper second) ila Vyuo pia vina taratibu zake mfano vyuo vyote vya serikali ni 3.8 isipokuwa Mzumbe ni 3.5 na baadhi ya kozi za sayansi SUA na ARU pamoja na MUST wao wanaweza kuchukua 3.5. Vyuo vya private vingi vinachukua 3.5 na chini ya hapo (mara chache hadi 3.3)

Umenena vyema, lakin sio kweli kwamba Mzumbe hawazingatii kigezo hicho kwa kuchukua 3.5 ila ni kwa baadhi ya kozi kama ilivyo katika vyuo kama SUA. Sor for Mzumbe ni SHERIA TU kuna wakati walichukua hadi 3.5. Lakin generalization uliyoifanya sio sahihi
 
Standard ni 3.5 ya TCU kwa sababu ndipo umpper second inapoanzia. Ila vyuo vingine ndo wameamua kujiwekea 3.8 nadhani ndo upper second ya kati ktoka 3.5 mpaka 4.3. Pamoja na kwamba vyuo kama UDSM huwa wanataka kuanzia 3.8 pale inapotokea ukosefu wa watu wenye sifa hizo huwa wanalekeza kidogo na hili hulifanya hasahasa kwa kozi za sayansi na uhandisi
 
Hizi nafasi huwaga hazijai...,kila mwaka wanachukua je hawatoshi? Mishahara yao ikoje waungwana?
 
haziwezi kujaa kama chuo kitaendelea kuoperate. Kumbuka hao tutors ndo wanaopanda mpaka kuwa lecturers na kuendelea. Akipanda mmoja tiyari ni gap! Lakini pia katika maisha ya kawaida kuna mengi! Kuhama,kufa,kustaafu na mengine.
 
Umenena vyema, lakin sio kweli kwamba Mzumbe hawazingatii kigezo hicho kwa kuchukua 3.5 ila ni kwa baadhi ya kozi kama ilivyo katika vyuo kama SUA. Sor for Mzumbe ni SHERIA TU kuna wakati walichukua hadi 3.5. Lakin generalization uliyoifanya sio sahihi
Ubishi!!!! Ubishi!!! Ubishi, unafikiri kwa kusema tunaidhalilisha Mzumbe. Rafiki yangu yuko HRM ana 3.5 mwingine alisoma Econmics pia anai 3.6. Sijawahi kuongea bila data. Hebu futa kauli yako kwamba nimefanya generalization. Siku nyingine vitu vilicyokuzidi uwezo usichangie Kapilime
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom