Tutazuia Sensa mahakamani na kwa maandamano ya amani - Sheikh Ponda Issa Ponda

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
"Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa," alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.

MY TAKE

Bodi ya utalii na Uhamiaji? hapa TAKWIMU zingalionesha waislam wapo wengi .JF pasingalika, Chadema, mapadri, maaskofu bungeni pasingalika

source: Nipashe
 
Wacheni msiwe watu wa ajabu ,katika mgomo wa kugomea sensa ya mwaka huu hao sio wa mwanzo ,kuna watu kibao wamegomea ,kuna wakulima kuna waliokosa vyandarua kuna waliokosa madawati ,imegundulika ahadi za sensa na bajeti hazina tofauti.
 
Hawa watu ni majuha,badala waandamane kupinga sheria ya kifisadi ya nssf 55-60 wanaandamana kwa vitu nonsensi ningekuwa polisi ningewatwanga live bullet
 
Mimi Sijamuelewa Sheikh Ponda anasema watazuia sensa mahakamani. Je ni kwa vipi? Ameweka Court injunction?
 
 Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu& tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa, alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.

MY TAKE

Bodi ya utalii na Uhamiaji? hapa TAKWIMU zingalionesha waislam wapo wengi .JF pasingalika, Chadema, mapadri, maaskofu bungeni pasingalika

source: Nipashe

my take;
Kichaa ni taaluma!
 
Tusihukumu mawazo ya watu. Kundi hili ni sehemu ya jamii ya watanganyika. mawazo yao yasipuuzwe, bali yafanyiwe kazi. ama sivyo, tutalifanya jeshi lenu liwe jeshi la kupambana kila siku. nahofu, kwa jinsi ya muundo wa jeshi lenu ulivyo, damu inaenda kumwagika. Mungu apishe mbali, wakubali kuhesabiwa. TII SHERIA BILA SHURUTI!!!!!
 
Mmmhhh sina ch akuongeza mie ila wametangaza kuwa ni kuvunja sheria za nchi ukikataa kuhesabiwa ( ndio kwanza nimesikia juzi)
 
"Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa," alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.

MY TAKE

Bodi ya utalii na Uhamiaji? hapa TAKWIMU zingalionesha waislam wapo wengi .JF pasingalika, Chadema, mapadri, maaskofu bungeni pasingalika

source: Nipashe

Mwanauamsho huyo si ajenge hoja na sio kusumbua watu! kwani ukiambiwa waislamu ni wengi kuliko wakristo ndio mtachukua kazi za kitaalamu bila kwenda shule?! hazitolewi kama tende zile ni kitabu Ponda!! huwezi kumtoa mtu madrasa ukampa udaktari, usiwe zuzu Ponda mkuu wa nchi ameshatoa tamko utapondwapondwa Ponda!! wingi au uchache wa waumini sio hoja tanzania is a secular state; serikali haina dini kwa hiyo haiwezi katu kufanya zoezi la sensa kwa misingi ya madhehebu, serikali haina haja ya kujua madhehebu ya wananchi wake bali inaheshimu na kuulinda uhuru wao wa kuabudu hata kama ni kuabudu ng'ombe Ponda
 
watu wengine bwana sijui vichwa vyao vina nini....

hata wakiambia kuwa waisalamu ni 99% inawasaidia nini?

basi bodi waandike 99% ni waislamu ili waridhike.....

badala ya kujenga shule na hospitali, kuandamana kushinikiza huduma za umeme na maji, miundombinu...wanaandamania sensa....

au ndo mbinu za kutafuta mpunga hizo?

kwa nini na wao wasifungue tovuti yao wakaandika 101% ya watanzania ni waislamu?
 
Tusihukumu mawazo ya watu. Kundi hili ni sehemu ya jamii ya watanganyika. mawazo yao yasipuuzwe, bali yafanyiwe kazi. ama sivyo, tutalifanya jeshi lenu liwe jeshi la kupambana kila siku. nahofu, kwa jinsi ya muundo wa jeshi lenu ulivyo, damu inaenda kumwagika. Mungu apishe mbali, wakubali kuhesabiwa. TII SHERIA BILA SHURUTI!!!!!

Mwembechai haikutosha? Tunayo matatizo mengi tu ya kushughulikia kuliko kupoteza muda na illiterates wachache.
 
Nimeongea na waislamu kadhaa ambao wamekwenda shule vizuri wanasema Sheikh Ponda hana point katika hili la kugomea sensa!! Ukijaribu kuangalia Hoja yake unaona kabisa ni ya kutumia nguvu zaidi kuliko akili. Tatizo watu kama hao hawaambiliki kabisa, utakuta anaongea hadi povu lamtoka mdomoni!! No reasoning at all!!

Popote ulipo jaribu kufanya assessment ndogo tu kwa kuongea na waislamu wanaopinga sensa na wale wanaounga mkono utaona mwenyewe wale wanaokataa sensa elimu "dunia" yao ni ndogo kuliko wale wanaosupport!!

Mimi sina ugomvi na watu kwa sababu eti ni wa dini flani bali huwa napenda tuangalie HOJA
 
kweli mkuu mbona wakristo wanfanya sensa yao makanisani wao wanashindwaje kufanya misikitini?
 
Kwa wanaodai hiyo habari ya dini kwenye sensa naomba kujuzwa. Shida ni ipi?
1. Kujua idadi ya wakristu
au
2. Kujua idadi ya wasio waislaam

Maana kuna watanzania ambao si waislam na wala si wakristu. Wapagani kwa mfano.
 
“Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa,” alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.

MY TAKE

Bodi ya utalii na Uhamiaji? hapa TAKWIMU zingalionesha waislam wapo wengi .JF pasingalika, Chadema, mapadri, maaskofu bungeni pasingalika

source: Nipashe

my take yako ni upuuzi
 
Ndio matatizo ya kukosa kazi za kufanya.Inabidi tufufue ile sera ya uzururaji ili hawa wote wakamatwe wapelekwe kwenye yale mashamba ya "nguvu kazi"
 
Back
Top Bottom