Tutazame kwa kina hili vijana wenzangu;

HB ngoja nikushauri haya:
1. JF ni kipimo cha uvumilivu
2. Ukiandika au kutoa comment ANDIKA KWA KISWAHILI ENG HUJUI
3. Chukua muda kujifunza JF nini kinaendelea
4. Punguza sifa
5. Jifunze kuandika(mwandiko) maana hujui hata kama kuna nukta, koma, aya nk hueleweke na unachosha kusoma thread yako
6.......................
Mengine nitamalizia kesho ngoja nipumzike
 
Dhalilishwa sana,Nimeonewa sana na Nimesikitishwa sana na hili,nitaendelea kutoa ufafanuzi pale inapobidi na nawasihi tuwe na uvumilivu wa kijamii as politician walivyo na POLITICAL TOLERANCE;unless otherwise tayari tungikuwa tunaishi ktk UNREST life

COPY AND PASTE: Nimesikitishwa sana,Nimedhalilishwa sana na Nimeonewa sana. Najua hiyo yote kwa sababu ya Kuwa Mwanafunzi wa
ST. Aug....
Mkuu unafikiri hapa na Facebook, facebook pekee wanaweza kukuunga mkono kwa kila kitu unachoongea. Ushauri wangu kwako usipende post utumbo, ikiwezekana omba mod afute.

Wapi kuna Political tolerance?Yanatokea Mwanza, Arusha na yalitokea Zanzibar miaka ile ndio Political tolerance eeh? Au unafikiri hayana uhusiano na Siasa. Nina shaka na wewe baada ya kumaliza masomo yako.
 
Hongera..Kumbuka kila mtu ana opiniontofauti juu ya kitu hapa JF... utapata watakao ku support na wenginewanatoa hasira za kazini humu.....
pls ma dia am ver much encouraged with ur comment,by da way,namna gani mood anaweza ku delete this??
 
pls ma dia am ver much encouraged with ur comment,by da way,namna gani mood anaweza ku delete this??
HB ukiambiwa kitu uwe unasikia mood ndo nini sasa?? Hao wanaitwa Moderator aka MOD ubishi tu na vitu hujui mwone kwanza alah
 
Mengi mno mara yeye ni HB, mara kaenda SA mara yeye ni waziri UDOM alipondwa mbaya
Sijaisoma thread yake lakini kwa kuwa ume-mention UDOM sasa najua nini kinaendelea. Inaonekana chuo chake kilipigwa madongo jamvini aka-mind
 
pole sana na masimango yote uliyoyakutana nayo.............lakini usivunjike moyo endelea kutupasha habari

Na wewe punguza copy and paste habari ndefuuuuuuuuuuuu. Unakuwa kama spammer. kama hujaambiwa basi rekebisha .Habari ikiwa ndefu kama ni ya kukopy eleza kidogo weka link .
 
Na wewe punguza copy and paste habari ndefuuuuuuuuuuuu. Unakuwa kama spammer. kama hujaambiwa basi rekebisha .Habari ikiwa ndefu kama ni ya kukopy eleza kidogo weka link .
Hahahahahahahaha lolzSamahani sana for someReason umenichekesha na comment yako..
 
Kwakweli handsome boy unapoteza muda wako chuo ikiwezekana usijiingize kwenye deni kubwa Loans board jaribu hata kuuza mitumba kama Mwisho wa Big brother,hata ukimaliza chuo uwezekano wa kushindana na Kamau au Onyango katika soko la ajira EAC ni finyu we tegemea maumivu tu.
halafu wewe nani kakufundisha dharau? Haya ruka kichura chura hadi ofisi za jf.
 
Back
Top Bottom