Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 101
Naam wadau,nimeleta hii mada baada ya kuona jinsi baadhi ya watu wanavyohangaika after retire.Nimebahatika kufanya kazi ktk makapuni mbalimbali ya cm toka kwa provider na macontractor kama tech ktk towers.Nilichoona wengi wa walinzi ktk towers ni askari wastaafu ama polisi au jwtz na wakipewa mshahara kati ya elf 80 hadi lak na na mshahara wenyewe hadi tarehe 40 na kila ukifika pale kwa kuelewa hali ngumu walönayo basi inakupasa kuwapatia walau hata buku 2.Hivyo nachukua fursa híi kuwakumbusha vijana wenzangu tujiandalie future mapema .