The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
tungeendelea kukenua ili watu wa pembeni wasijue kuna soo maana tumeshawapagawisha kwa mapenzi yetu halafu nisingemuliza chochote. silence kill faster
hapo ni makofi kwenda mbele!
hata ukimuadhibu haisadii kwa sababu hivyo ndivyo anavyokuona (i.e kubwa jinga) .... ni ngumu sana kubadilisha perception ya mtu once ikishakuwa created
sitaki yanikute.................. du, mimi ndo ningetoka mwenyewe ningetangulia nyumbani, ukirudi utanionea huruma mwenyewe maana jinsi nitakavyokuwa.................
Ningefuata hatua zako, lakini kwa marekebisho madogo tu - tukifika nyumbani ninamtumia ujumbe kumwambia "ni kweli mpenzi, mimi mjinga mkubwa lakini kosa lako ni kunierevusha". Bila ya shaka atataka kujieleza na kujitetea na mimi nitakuwa tayari kumsikiliza mpaka mwisho lakini bila ya kusema wala kuongeza lolote. Nitamwacha ajitese mwenyewe kisaikolojia. Siku nikihisi anafikiri yameisha, ndio ninamtwanga njano mbili na nyekundu moja.ningepotezea wala simuulizi,,, nitaendelea kufurahi nae kama kawaida,, hata tukienda nyumbani wala simuulizi tena hiyo siku nitaongeza mapenzi kwake,,, UNAJUA KWA NINI?? adhabu ya mzinzi ni kutokumuuliza pindi unapogundua uzinzi wake na yeye akajua kuwa umejua YANI IYO NI ADHABU TOSHA,, na lazima ataachana na huyo awala yake,, na usije ukashangaa anaondoka mwenyewe kwenda kujishtaki kwa wazazi maana hajui unamfikiria nini kwa ukaaji wako kimya pasipo kumuuliza