Tusubiri singo ya muasi Kubenea kesho

hata mimi slowly naanza kuegemea Raia Mwema kuliko hii kitu ya huyu jamaa Kubenea. Ni kama naelekea shimoni vile, lakini pengine ni kwa sababu amepewa mshiko mrefu na mafisadi. Ila ni suala la muda tu atajua alikosea au la! Tusubiri tuone.

Still Mwanahalisi is my star!
 
Umetumwa na mumeo Ritz kuleta hii hoja. Halafu imekaa kinape Nape manake yeye ndio bingwa wa kutetea familia ya rais so inaonyesha wewe uko hapa kwa maslahi binafsi ya waliokutuma. Mmenunua Raia Mwema sasa mnataka kuliua Mwanahalisi baada ya kuona Kubenea hanunuliki. mwehu msafi weeee
 
There you are sir! Salute!

Nyie hamumjui kubenea,yule ana watu wake,huwezi kumsikia hata siku moja anamsema vibaya membe,na chadema mtakuja kumuelewa siku membe atakapotangazwa ni mgombea wa ccm urais....sasa hivi ni kweli anatumika kumsaidia lowassa asifukuzwe ccm kwa kumtisha ****** kwamba akifukuzwa mabaya yote ya ****** mwanahalisi litayafumua,nyie mnadhani kwanini sasa hivi akiandika ubaya wa ccm lowassa hamgusi wakati kipindi kile ndio alikua mstari wa mbele kumponda lowassa kwa kushirikiana na kina sitta mpaka kina lowassa wakammwagia tindikali...na amshukuru mengi ndio anamsaidia hayo matibabu ya india kila baada ya miezi mittatu japo jicho ndio kwishney....kubenea ni kwa nyie msiomjua ndio mnamuona shujaa lakini mganga njaa tu
 
kumbe ww bado unalisoma? mm ni chaguo langu la pili nikikosa raia mwma. tatzo la mwnahalis makala chache maandish manene na kuwashambulia wtu
. By the way anajtahd
 
Naona baada ya kuliua Raia Mwema sasa mnataka kuhamia Mwanahalisi. Acha ujinga huo wa kutumikia watu wa majungu na fitina. Kubenea chapa kazi usiwasikilize hawa magamba.
 
kumbe ww bado unalisoma? mm ni chaguo langu la pili nikikosa raia mwma. tatzo la mwnahalis makala chache maandish manene na kuwashambulia wtu
. By the way anajtahd

Raia Mwema kuna makala gani za maana ukimuondoa Mbwambo? Ulimwengu sijui kaenda wapi. Wamebaka kumsifia Membe na magamba. Sasa hata na Mwanahalisi mnataka waanzie kusifia magamba? Ebu tuwe wachambuzi jamani.
 
Jamani jamaa amekuwa mtabiri kama yule mtabiri maarufu late Yahya. Kwa nini usisubiri hiyo kesho kukisha soma ndio ucomment? Kama sio kuweweseka tuite nini? Vuta subira mkuu kama wengine tunavyofanya ukilisoma ruksa kukosoa au hata kupongeza.
 
ashakum si matusi, kwetu wanasema... heri malaya anayeuza uchi kuliko malaya anayeuza utu!
 
ashakum si matusi, kwetu wanasema... heri malaya anayeuza uchi kuliko malaya anayeuza utu!
Nakusoma mkuu MTM,

Lkn nadhani mi labda namsoma tofauti Kubenea.

Ila, kwenye hili la gazeti la leo (kesho?) kumjibu haraka Sitta (headline inasema "Sitta kanyea kambi") amejibu kwa haraka na athari yake ni kubwa.

Well, yawezekana anaelewa afanyalo lkn tactically it's not good at all. Majibu kwa Sitta yanaonekana kama ya jazba na ya haraka, kimya kingekuwa jibu zuri na ili kum-prove wrong Sitta angeendelea na afanyalo na matokeo ya 'Kazi nzuri' ya MwanaHalisi ndilo 'jibu zuri' kwa Sitta.

Lakini, kila mtu ana approach yake, na washauri wetu mara zote wana nafasi kubwa juu ya tufanyayo, sipendi kumkosoa sana huenda yuko sahihi (Kubenea).
 
ashakum si matusi, kwetu wanasema... heri malaya anayeuza uchi kuliko malaya anayeuza utu!
Nafikiri tunahitaji kumpa muda Kubenea,bado sijaona zito la kumshuku.issue zinazohusiana na sitta ni complicated,hata sisi wote tulio against CCM kwenye hili hatupo pamoja.mpambanaji wa muda mrefu calibre ya Kubenea si haki kuhukumu kwa haraka haraka hivi.hata Zitto wengine ilituchukua muda kuunganisha dot na kuanza kumhukumu.lakini pia pengine mkuu MTM unalo la moyoni maana nakuheshimu kama moja ya magreat thinker humu!
 
Mbona hamtaji Tazama,Jambo leo,Uhuru,Mzalendo na Hoja kwamba nayo yamenunuliwa na Mafisadi? Kwa vile mwanahalisi halishabikii sera ya kujivua magamba basi lionekane limenunuliwa na mafisadi? Mtapiga propaganda sana lakini zitashindwa.

ndo walewale mliokunywa uji wa mgonjwa!
 
Back
Top Bottom