Tusubiri singo ya muasi Kubenea kesho

...unamtofautishaje unayemtetea hapo juu na Lowassa au Mafisadi kama unavyotaka kutuaminisha.

Acha mbwembwe zako wewe, Kama unayosema unayaamini, basi pia sioni tofauti yako kwa upande moja na ya Kubenea kwa upande mwingine ("Action and Reaction are equal but opposite in reaction ").

Kaka au whatever they call, tunatumia vichwa kufikiri na sio uti wa mgongo na/au masaburi. Hiyo kambi nyingine inayomwona Lowassa mwovu yenyewe ni safi kwa kiwango kipi ndani ya CCCCCM? au basi R1 na Lowassa tofauti yao ni ipi hasa......?

Sawa tuchukulie ww na wenzio nyuma ya pazia mmefanikiwa kutuaminisha ubaya wa Lowassa, sawa nani Mzuri? Migiro yule Rozi? (teh teh teh), Membe?, Mwinyi (Dk) ? Mwandosya? Mwakyembe? Sitta? Pinda? (eee, yeye atalia na wananchi watalia, sijui nani atambembeleza mwenzake)

Utenzi umechekesha sana huu; nasubiria beti la la pili!
 
Mwanahalisi ni zaidi ya Kubenea, siwezi kosa nakala yake.
...........una akili sana, utamkuta Nyaroro Kichere kule, Mbasha Asenga huku, Mwangulumbi pale, Tegambwage hapa, Mayega kule, Olengurumwa na Tutindaga huku, Jabir Idrissa kati, Daffi na Lucas kuleee......hakuna tutakachopungukiwa. Nimegundua baadhi ya wakuu wananunua Mwanahalisi kwa ajili ya kusoma jina la Saed Kubenea tu na hapo hutosheka, sasa hii ni hatari
 
Mimi huku niliko nalipata kwa shida sana. Mpaka moyo sasa umekuwa sugu kulikosa.So sijalifuatilia sana. Let me observe.
 
Back
Top Bottom