Tusker challenge cup Final: Uganda vs Rwanda

hadi sasa hivi Rwanda wanaongoza kwa goli moja lililofungwa na kagere dakika ya 50. Micho anachekelea tu. hadi sasa havi kagere ana magoli manne akimfuatia kaka yake olivie kalekezi mwenye magoli 5.
UGANDA 0 - 1 RWANDA.
mia
 
anaingia patrck ochan kwa upande wa Uganda katoka msa mdee. wameamua kuimalisha kiungo. Mia
 
Hivì hawa TBC watajifunza lini kutangaza mpira kwenye Tv?Wanakera,wanatangaza mpira kama kwenye radio...Anakwenda!Anakwenda!Anakwenda!Za nini kwenye Tv ilhali tutaona kila kitu...
 
alishababu wamekataza mpira somalia. wanasema ukitaka kucheza mpira unabidi uvae kanzu inayoficha viatu vya miguu. so hadi sasa hivi somalia hamna ligi. na sehemu yenye kutawaliwa na alishabaab hamna mpira kabisa. wanasema ni anasa kama starehe nyingine. Mia
 
zambia wanalaumiwa kwa kuwa walienda india ambako hakuna soka wakati wa kujiandaa na michuano ya fainali ya India na kuwafunga goli tano.kumbuka msa hassan mgosi alienda kufanya majaribio india akashindwa. sasa hivi anacheza motema pembe ya congo. Mia
 
Michuano ya cecafa inayo fuata itafanyikia kenya. Msonye kasema wamewaalika camerun na nigeria. Mia
 
walinzi wa uganda wamebaki wawili tu. kama litatokea shambulizi la kushitukiza wanaweza kufungwa goli lingine. haruna nionzima anakosa goli hapa. Mia
 
dakika ya 30 kipindi cha pili wanyarwanda bado wanaongoza kwa goli moja. Rwanda wanafanya mabadiliko ya mwisho. anaingia PETER KAGABO na kutoka JEN CLOUDE MILANZI.Mia
 
walahi mechi hii ni kali, rwanda wanapata goli saaaaafi la pili muda mfupi tu baada ya uganda kufunga goli la kusawazisha
 
ISAC ISINDE anasawazisha goli.dakika ya 32 na dakika hiyo hiyo KAGERE MEDIE ameongeza goli lingine.
matokeo ni:
UGANDA 1 - 2 RWANDA. mia
 
kiza anawafungia uganda goli la pili la kusawazisha sekunde chache tu baada ya rwanda kuongeza la pili...dk ya 80 rwanda 2-2uganda
 
olivia karekezi amejifunga wakati akiokoa goli. ilikua dakika moja baada ya rwanda kufunga so matokeo ni;
UGANDA 2 - 2 RWANDA.
MIA
 
Teddy mapunda wa serengeti anasema anashukuru sudan kwa kufuzu kwenda fainali za africa. kama mnavyojua bia ya tusker inatengenezwa sudan kusini sehemu inayojulikana kama Juba. mshindi wa leo atapata $30000/- cash. ni michuano inayokuja itafanyikia kenya wadhamin wakiwa hao hao TUSKER. Mia
 
Back
Top Bottom