MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,428
- 3,309
Hata wewe tutajuaje Kama ni salama?*Ndug sio kila link ni salama zingine ni virus hatari waweza kuua simu yako ama kudukuliwa na hackers, kujua ipi ni salama gusa hapo juu*
Sent using Jamii Forums mobile app
Page not found*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*
*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100
*Free IPTV
Nimetengeneza app ya ku share files kwa kasi sana inaitwa SharePal inapatikana play store naomba muijaribu SharePal: Share music & video, transfer files - Apps on Google PlayView attachment 1311874View attachment 1311875View attachment 1311876View attachment 1311877
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna kitu*Kwa anaependa Kutazama tv kweny simu*
*Hii ni link ya application ya tv inayoonyesha chanel za azam tv na Dstv karubu zote na startimes buree haina malipo ya kila mwezi, ukipenda download sasa ina zaid ya channel 100
*Free IPTV
Tengeneza yako, isiyo kula bundle...hamna kitu
inakula bundle tu
ACHA UJINGA unajua mada inazungumzia nini hapo au unarukia hiyo app umeifungua na kupata hizo channel?Tengeneza yako, isiyo kula bundle...
hii ni link tumepewa na inafunguka km Adobe kwa 7.7Mbpost: 34503568 said:
Binafsi ninayo hiyo app...ACHA UJINGA unajua mada inazungumzia nini hapo au unarukia hiyo app umeifungua na kupata hizo channel?
hujui hata Virus au unataka uonekane umechangia, acha mwenye post ajibu
hii ni link tumepewa na inafunguka km Adobe kwa 7.7Mb
wewe unaropoka niunde yangu wakayi hujafungua
View attachment 1370982
umeitengeneza lini?Binafsi ninayo hiyo app...
Page not found
aisee!umeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active linkumeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
hakuna kejeli ninachopinga ni kudanganyana kote kupotezeana mudaUnapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link
Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay. UPDATE Tumewaleta version bora zaidi ambayo kwa sasa inapatikana Play Store Pure Entertainment - Apps...www.jamiiforums.comukiona wizi acha, lakni link zao hazipo secure zinaplay out of their app