Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

DictPal
Kamusi ya Kiingereza kwa kiswahili inapatikana play store.

Inaonesha pia namna ya kutamka maneno

Screenshot_20191225-082615.jpeg
Screenshot_20191225-082605.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps muhimu ktk cm yangu.. Nyingi hazipo playsore ila nazichukua google..

1. Videoder_ ni kwa ajili ua kudownload video YouTube ktk pixels mbalimbali, kuangalia hizo video na pia kudownload video hizo ya youtube ktk mfumo wa mp3 (audio)

2. Lucky patcher- hii unaeza kuhack coins na moneuy ktk games mbalimbali mfano za magari pia una uwezo wa kuifanya app yenye google ads uzuie matangazo.

3. Live football tv- kuangalia mechi live za ligi mbalimbali mfano EPL

4. Happymod- iko kama playstore ila hii unaidownload apps na games zilizo cracked and moded (yaan mfn game inakuja na pesa kabisa na kama ni apps inakuja bila matangazo au watermarks)

5. Piscart- kuedit picha ktk namna mbalimbali

6.Fotmob- kuangalia matokeo ya mechi za mpira wa miguu misimamo ratiba wafungaji nk

7. Sportpesa- ni kwa ajili ya kubeti ukifungua account yako una uwezo wa kibeti hata mechi moja na kiasi ni kuanzia 500

8. Nmb mkononi_ kwa wale wenye account bank ya NMB hii ni nzur unaweza kuangalia salio bure, kukopa, kuhamisha pesa bank kwenda mpesa tigo pesa nk



Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: dtj
ACHA UJINGA unajua mada inazungumzia nini hapo au unarukia hiyo app umeifungua na kupata hizo channel?
hujui hata Virus au unataka uonekane umechangia, acha mwenye post ajibu

hii ni link tumepewa na inafunguka km Adobe kwa 7.7Mb
wewe unaropoka niunde yangu wakayi hujafungua
View attachment 1370982
Binafsi ninayo hiyo app...


Hizo ni baadhi tu.
IMG_20200227_224235.jpg
IMG_20200227_224313.jpg
IMG_20200227_224250.jpg
 
umeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link

Ukishindwa active link hiyo hapo
 
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link
ukiona wizi acha, lakni link zao hazipo secure zinaplay out of their app
hakuna kejeli ninachopinga ni kudanganyana kote kupotezeana muda
1582833413606.png
 
Back
Top Bottom