Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu nime install Showbox app, ila nashindwa kuitoa mwenye ujuzi anisaidie tafadhali, maana inanisumbua kila wakati inaleta Ads hata kama siitumii.
 
Nielekezeni kwa fundi simu yoyote aliepo dar ambae anaweza nisaidia kuroot simu yangu.
 
Wakuu nime install Showbox app, ila nashindwa kuitoa mwenye ujuzi anisaidie tafadhali, maana inanisumbua kila wakati inaleta Ads hata kama siitumii.
Nenda setting kusha App nenda kwenye downloaded
Itafute ifungue utaona options mbili force to close na uninstall
Chagua uninstall.
 
HUMU TUNASHIRIKISHANA APPLICATION KATI YA TUNAZOZITUMIA KTK DEVICE ZETU.

IKITOKEA UNA TATIZO LA KIUFUNDI NA HAUELEWI KIINGEREZA, JARIBU KUSACHI JINA LA TATIZO AU LA UTAALAM WA KUTUMIA APPS FLANI NA FLANI KTK SEACH BUTTON INAYOPATIKANA HUMU, YAANI KAMA UNATAKA KUJUA NAMNA YA KUROOT DEVICE ANDIKA ROOT KTK SEACH YA JAMII FORUM HAPO UTAPATA KILA UZI ULIOMO HUMU WENYE KUZUNGUMZIA ROOT ILA KAMA NGELI INAPANDA DEAL NA YOUTUBE AU GOOGLE SEARCH MAANA HATA UKIULIZA MAJIBU MAZURI YATAANZIA KUTOKA HUKO, ILI HAPA TUBAKI TUKISHIRIKISHANA APPS TUU IPI NI IPI INAFANYA NINI, UTUMIE IPI KWA KUFANYA NINI, IPI NZURI KATI YA IPI NA IPI, LAKINI TUKISEMA MPAKA TOFAUTI YA 3G NA 4G TUULIZANE HUMU, TUTAKUWA TUNAJICHANGANYA NAKUCHANGANYANA.

JE WEWE UNAIKUBALI APPS IPI KATI YA IPI NA IPI?
TUJUZE APP INAYORAHISISHA HIKI NA HIKI, NADHANI NDIO LENGO LA ENEO HILI AU VP WANA WENZANGU.
 
KWA MASUALA YA DOCUMENTATION, NATUMIA WPS NA CAMSCANNER,

SPORTS, LIVESCORE, NA GOAL

MUSIC NINA POWERAMP NA JET AUDIO

VIDEO NINA MIXPLAYER NA AK PLAYER

VIDEO DOWNLOADING NATUMIA VIDEODER NA STREAMING NATUMIA MOBDRO

KUTUMIA APPS ZA KULIPIA BURE NATUMIA LUCKY PATCHER NA FREEDOM

KWA APPEARANCE NA MADOIDO MENGINE NATUMIA ARROW LAUNCHER,
AP 15 LAUNCHER (MY BEST LAUNCHER)

APPS STORE ZANGU NI BLACKMART, APTODE, UP2DOWN HUMO APPS ZOTE ZINAZOPATIKANA PLAYSTORE NAZIPATA BURE KABISA.

KU BROWSE NATUMIA UCBROWSER ONLY, SIJAKUTANA NA KAMA HYO KWA UPANDE WANGU.

NABROWSE DEEP WEB KWA MCHANGANYIKO WA ORWALL, ORBORT, ORFOX.

NIMEROOTBDEVICE YANGU SO NATUMIA KARIBIABTOOLS ZOTE MUHIM KWABROOTED DEVICE KAMA VILE, EXPOSSED INSTALLER, ROM TOOLBOX, ROM MANAGER, SYSTEMBREMOVER APPS NK.

KARIBUNI TUBADILISHANEBMAUELEWA.

KWABUSIKU HUWA NATUMIA NIGHT SCREEN,
 
HUMU TUNASHIRIKISHANA APPLICATION KATI YA TUNAZOZITUMIA KTK DEVICE ZETU.

IKITOKEA UNA TATIZO LA KIUFUNDI NA HAUELEWI KIINGEREZA, JARIBU KUSACHI JINA LA TATIZO AU LA UTAALAM WA KUTUMIA APPS FLANI NA FLANI KTK SEACH BUTTON INAYOPATIKANA HUMU, YAANI KAMA UNATAKA KUJUA NAMNA YA KUROOT DEVICE ANDIKA ROOT KTK SEACH YA JAMII FORUM HAPO UTAPATA KILA UZI ULIOMO HUMU WENYE KUZUNGUMZIA ROOT ILA KAMA NGELI INAPANDA DEAL NA YOUTUBE AU GOOGLE SEARCH MAANA HATA UKIULIZA MAJIBU MAZURI YATAANZIA KUTOKA HUKO, ILI HAPA TUBAKI TUKISHIRIKISHANA APPS TUU IPI NI IPI INAFANYA NINI, UTUMIE IPI KWA KUFANYA NINI, IPI NZURI KATI YA IPI NA IPI, LAKINI TUKISEMA MPAKA TOFAUTI YA 3G NA 4G TUULIZANE HUMU, TUTAKUWA TUNAJICHANGANYA NAKUCHANGANYANA.

JE WEWE UNAIKUBALI APPS IPI KATI YA IPI NA IPI?
TUJUZE APP INAYORAHISISHA HIKI NA HIKI, NADHANI NDIO LENGO LA ENEO HILI AU VP WANA WENZANGU.
Shida ni kwamba wameibuka watu ukiangalia hata umember wao ni wajuzi juzi tu lakini anakuja nahoja amefungua group WhatsApp hivyo watu wa hamie huko kwaajili ya kuendeleza mada iliyo anzishwa hapa,Sasa kwa swala hilo la ku search sijui huko WhatsApp ukiwa new member uta search wapi.
Na unakuta mada chanzo chake ni hapa home of great thinkers.
 
Back
Top Bottom