Add 0719505649Nifuateni inbox whatsapp kwa group la Apps namb 0625771544
MnaudhiUckasrike kaka ni kuwaelekeza tu kaka..
Mkuu blackmart unaidownload vipi?Blackmart kwa rooted Android. Hiii app inakusaidia kupata app zooote za play store zinazouzwa bure. Haipatikani Google play. I search kwenye search engines
Ingia Google searchMkuu blackmart unaidownload vipi?
Njooo nyumbaniNielekezeni kwa fundi simu yoyote aliepo dar ambae anaweza nisaidia kuroot simu yangu.
Be specific plz.Njooo nyumbani
Ipo ila haipakuliki, msaada plizIngia Google search
Simu Aina Gani?? Kwa Kufata Maelekezo Ya Humu Humu Umeshindwa Kuroot??Nielekezeni kwa fundi simu yoyote aliepo dar ambae anaweza nisaidia kuroot simu yangu.
Inamaana hakuna msaada hapa???Wadau msaada kwenye tuta
Nisaidieni jinsi ya kuweka simu iwe inaonesha jina la mtandao pale juu kwenye notification bar, yaani iwe inaandika HALOTEL 3G/2G
Kama wamekuadd tafadhali niunge na Mimi nakupm namba yanguAdd me please 0713853451
Kama wamekuadd tafadhali niunge na Mimi nakupm namba yangu[/QUO
Nenda setting kusha App nenda kwenye downloadedWakuu nime install Showbox app, ila nashindwa kuitoa mwenye ujuzi anisaidie tafadhali, maana inanisumbua kila wakati inaleta Ads hata kama siitumii.
Shida ni kwamba wameibuka watu ukiangalia hata umember wao ni wajuzi juzi tu lakini anakuja nahoja amefungua group WhatsApp hivyo watu wa hamie huko kwaajili ya kuendeleza mada iliyo anzishwa hapa,Sasa kwa swala hilo la ku search sijui huko WhatsApp ukiwa new member uta search wapi.HUMU TUNASHIRIKISHANA APPLICATION KATI YA TUNAZOZITUMIA KTK DEVICE ZETU.
IKITOKEA UNA TATIZO LA KIUFUNDI NA HAUELEWI KIINGEREZA, JARIBU KUSACHI JINA LA TATIZO AU LA UTAALAM WA KUTUMIA APPS FLANI NA FLANI KTK SEACH BUTTON INAYOPATIKANA HUMU, YAANI KAMA UNATAKA KUJUA NAMNA YA KUROOT DEVICE ANDIKA ROOT KTK SEACH YA JAMII FORUM HAPO UTAPATA KILA UZI ULIOMO HUMU WENYE KUZUNGUMZIA ROOT ILA KAMA NGELI INAPANDA DEAL NA YOUTUBE AU GOOGLE SEARCH MAANA HATA UKIULIZA MAJIBU MAZURI YATAANZIA KUTOKA HUKO, ILI HAPA TUBAKI TUKISHIRIKISHANA APPS TUU IPI NI IPI INAFANYA NINI, UTUMIE IPI KWA KUFANYA NINI, IPI NZURI KATI YA IPI NA IPI, LAKINI TUKISEMA MPAKA TOFAUTI YA 3G NA 4G TUULIZANE HUMU, TUTAKUWA TUNAJICHANGANYA NAKUCHANGANYANA.
JE WEWE UNAIKUBALI APPS IPI KATI YA IPI NA IPI?
TUJUZE APP INAYORAHISISHA HIKI NA HIKI, NADHANI NDIO LENGO LA ENEO HILI AU VP WANA WENZANGU.