TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

Jan 24, 2012
5
17
We understand that health should be the number one priority to everybody and we are taking this matter very serious. Western medicines have provided a significant revolution in the medical world but due to their higher content of harmful chemicals, they therefore bring about side effects to consumers.


This is the main reason we at Precious Clinic decided to concentrate on alternative medicine, to release the harmful chemical burden to our customers.

Precious Clinic has qualified personals: expertise in alternative medicine, physiotherapist and nutritionist. We combine the knowledge of our staff and our high technology equipment to provide the best service to our clients.
We make a Difference, in what we do.
Virtually anyone can benefit from our services. We help people who want to prevent themselves from getting preventable diseases and also those have particular health conditions like diabetes, hypertension, HIV etc. the following are the services we are offering:
➢ Health consultation
➢ Diseases diagnosis – high tech equipment
➢ Natural treatments
➢ Detoxification
➢ Therapeutic Massage
➢ Beautification
➢ Nutritional Consultation
➢ Family programs
➢ Health seminars to cooperate companies


Our Clients
Precious Alternative Medicine Clinic has a lot of services, everyone can benefit from our services as follows:

➢ Diabetes patient will get natural medicine, the medication will help the performance of pancreas and hence the insulin production.
➢ People living with HIV virus (PLWH):
➢ People who experience chronic Fatigue
➢ People who experience chronic headaches
➢ Overweight
➢ People who suffer from liver problems etc.

CONTACT US 0754 - 401969 / 0659131305
 
NOT CROSSING THE CREATOR.

Though we dont see him, but he sees us all and all the time.

I suggest you do the same. He is the bringer of all. GOOD and BAD. And in the end we shall return to him.
 
Nimewaandikia watu wote wapate kusoma.Watanzania wengi leo afya is even not a secondary issue, wamekuwa ni watu ambao Wanazoea maradhi na kuwayachukulia maumivu mbalimbali ya mwili kama mambo marahisi na mepesi.

mwisho wa siku mtu anagutuka akiwa na afya mbaya sana, au tatizo limekuwa sugu kupita kiasi.

Precious Clinic inathamini afya ya kila mtu na kuamini afya is number one issue to be looked at.

Unaweza kuwa na kila kitu,lakini kama una afya nzuri wewe, au una mtu unauguza, kila kitu ulichonacho chaweza kuyeyuka.

Wanajamvi ni wakati muafaka sasa kuthamini afya zetu na kuzipa kipaumbele, ili kupunguza magonjwa sugu na premature death nk. Tujue umuhimu wa kuchunguza afya zetu kwa faida yetu wenyewe na taifa letu.

Yatupasa kukumbuka kuwa nguvu kazi nyingi inapotea leo,kwa sababu watu wengi hawana afya nzuri.
 
Clinic nyingi sasa hivi mpo after money sana,
Naweza kuja hapo kwako kwa check up tu ukanichaji LAKI,
Na tiba yenyewe inakua ya kisani sanii sana.
Karibu kwangu nikupe dozi ya Alovera ni kiboko.

Inawezekana ukawa sahii kwasababu moja au nyingine.Lakini niseme tu ndivyo inavyosikika kwa walio wengi.
tabia hii imewafanya watu wengi kudharau kupima afya zao.Naomba tusizungumze kwa hisia,tulipofika leo, kila Mtanzania anapaswa kujali afya yake kwa uthamani sana.

Inawezekana leo unajibu hivi kwa sababu hujaumwa wala kuuguza,na tuzingatie kitu hapa,swala si dawa flani bali swala ni je unamazoea ya kuchunguza afya yako?kama sivyo karibu Precious.
 
manuu uko sahihi kabisa ndg yangu hawa watu pesa kwao ndio kitu cha kwanza hawaangalii hata kipato cha mtanzania wao wanadhan wote waendao kwao ni mafisadi wako sahihi sana kusema madawa ya kizungu mengi ndo yaongezayo magonjwa na kwa kigezo hicho wanafanya jitihada nyingi kutueleza madhara yaliyomo kwenye dawa za kizungu ili tukimbilie kwao lkn mwisho wa siku kuingia tu mlangoni lzm uache laki hapo bado tiba na uchunguzi pamoja na madawa ya kwenda nayo nyumbani! Hivi tukiwaita ni mafisadi waliokuja kwa njia ya kujifunika ngozi ya kondoo tutakuwa tumekosea? Mbona walio walisisha kazi hiyo hawakuwa na charges za namna hiyo isitoshe malighafi watumiazo nyingi ni zilezile tunazo zimiliki kwa pamoja? roho inauma watanzania tunakosa kimbilio anyway ni mu-alovera na muarobaini kwa kwenda mbele Mungu ndiye anajua kama itatutibu au laa, na hapa nilipo mi nshaanza kutengeneza vidonge vya mualovera tena simple tu!
 
manuu uko sahihi kabisa ndg yangu hawa watu pesa kwao ndio kitu cha kwanza hawaangalii hata kipato cha mtanzania wao wanadhan wote waendao kwao ni mafisadi wako sahihi sana kusema madawa ya kizungu mengi ndo yaongezayo magonjwa na kwa kigezo hicho wanafanya jitihada nyingi kutueleza madhara yaliyomo kwenye dawa za kizungu ili tukimbilie kwao lkn mwisho wa siku kuingia tu mlangoni lzm uache laki hapo bado tiba na uchunguzi pamoja na madawa ya kwenda nayo nyumbani! Hivi tukiwaita ni mafisadi waliokuja kwa njia ya kujifunika ngozi ya kondoo tutakuwa tumekosea? Mbona walio walisisha kazi hiyo hawakuwa na charges za namna hiyo isitoshe malighafi watumiazo nyingi ni zilezile tunazo zimiliki kwa pamoja? roho inauma watanzania tunakosa kimbilio anyway ni mu-alovera na muarobaini kwa kwenda mbele Mungu ndiye anajua kama itatutibu au laa, na hapa nilipo mi nshaanza kutengeneza vidonge vya mualovera tena simple tu!

WARREN,

ukitunza afya yako vizuri,hutapata shida.Shida itakuja pale utakapokuwa na fikira kama ulizoandika hapa,hutajali kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi wa kawaida wa afya kwa sababu kama ulizozieleza.

mwisho wa siku utapelekwa ukiwa au utaitafuta hospitali yoyote katika hali ambayo si nzuri,tunachofanya ni awereness tu kaka.

KARIBU SANA.
 
Atakuwa katuandikia sote,ila "walengwa",ni Wazungu na expatriates wengine...

Hata hivyo,ni mara ya kwanza kusikia Hospitali inatangazwa! Hata iwe kliniki,ama dispensare,sijawahi kusikia!

Sijui kisheria hili likoje..

Tulipofikia leo watanzania,ni lazima tukumbushwe hata ula.

Gambachovu,hatutangazi kwa kutaka biashara,hapana,tunafanya hivi kama awereness,angalau watu wachukue hatua tupunguze hali iliyopo leo ya watu kuwa na magonjwa sugu yasiyokuwa na majina.

Chukua hatua na jitengenezee utaratibu wa kupima afya yako,itakusaidia sana.

leo tunalalamika nchi inayumba,watu wanaumwa akili,ubongo zao hazifanyi tena kazi kama inavyotakika.
 
Mie naona tujikabidhi kwa Mungu tu halafu tu-relax. Kama aliweza kumfufua mfu (Lazaro) hivi vijigonjwa kwake wala si kitu. Watakuja wengi na dawa mbadala nyingi tu (mf babu wa loli, ndodi n.k) lakini kama maji yenyewe ya kutengenezea hizo dawa mbadala ni ya dawasco wala hatujakwepa kitu maana siku hizi na uchakachuaji wa dawa (hata za kutibu maji) na uchafuzi wa mazingira hata maji ya mvua si salama tena. Itoshe kusema kwamba mambo mengi yanayotusibu kama binadamu yameletwa na binadamu mwenyewe ama kwa makusudi au kwa kutokujua. Hakuna mtu aliyeufundisha moyo jinsi ya kusukuma damu wala figo jinsi ya kuchuja sumu mwilini wala macho jinsi ya kuona wala ulimi jinsi ya kuonja.....hii ni kazi ya Mungu. Mwamini uwe huru kama mimi!!
 
Majority ya Tanzanians tu waswahl na ngeli haipandi...
Kwanini usingetumia kiswahl ili ueleweke na audience kubwa zaidi?
 
Hospitali hata haijasemwa iko wapi, watu wanawezaje kuwafikia, au ndo mambo ya huduma mpaka mlangoni?
Mi nanusa mizengwe tu hapa, unless PC aje na maelezo kuntu ya kwanini tusinywe Aloe Vera au Aloe Saucus, ila tuende kwa hospitali iliyo mitandaoni, inayoendeshwa kwa simu kama dalali (hata dalali ana kijiwe kwa shoe shiner), kiroho safi, pamoja na kupenda kuishi, lakini hawa mabwana (waliokuja kwa jina la tiba mbadala) hawana unafuu wowote, nadhani wengi mshasikia gharama za tiba za Dr. Ndodi, maneno mataamu kwenye TV, kumbe mjasiriamali, FITERAWA nasikia dozi yake ni vidumu vya lita tano, kimoja buku 50, afu unakunywa kuanzia vitano kulingana na ukubwa wa tatizo. Hakyanani, ni bora tuendelee kuishi kwa style ya Liverpool, ya kumkaba mtu akishakupita, tukicheza rafu ikiwa penalti potelea mbali, kipa atapangua, taenda spitali tukishaumwa, karibuni JF Doctor.
NB: Mwenye shida ya mche wa Aloe Vera anitafute nimletee bure mahala alipo ndani ya Dar, ila tu ajue kama ni home lazima nidomee cha mchana.
 
waungwana wote nadhani wakati umefika wa kurejea eden kwa maana hii dunia imekuwa ya wajanja,kila mtu anazijua fedha matangazo mengi magazetini,radioni, luninga n.k dawa hizi ktk hospitali zetu watu wako kibiashara zaidi mgonjwa aweza kwenda akiwa nafuu akapewa dawa zilizochakachuliwa akazidiwa zaidi,lakini mimi napendekeza tusiache kwenda hospitali eti kwa sababu tu ya tiba mbadala tutakwisha kwa dawa zisizo na vipimo bana.
 
kwa hiyo, hiyo alovera iko cheap au ndo walewale tunaowaongelea mko kiofisi zaidi?
 
Msichangie kana kwamba hamjui maisha ya watanzania walio wengi yakoje.

Mtu hawezi kuacha kununua debe la mahindi na kitini cha mihogo kwa ajili ya mlo, akakimbilia kwenda kufanya check up!

Hatua ya kwanza katika kujali afya ni shibe kwanza ili mtu aweze kuwaza mengine.

Mnaowabeza watanzania inawezekana ni watoto wa Magamba. Mkiambiwa tembea muone mnakimbilia mbuga za wanyama - akili au matope! Tembelea binadamu wenzako uone wanaishije ndo ulete mada za kupima afya!

Mtu anawaza hata akipima afya yake akakuta ina matatizo gharama ya tiba iko juu. Mimi kama mimi nimezaliwa kijijini, nimekulia kijijini, naishi kwenye mji mdogo, tiba yangu ni miti shamba tu! na sipimi afya bali ninaposikia dalili ambazo mama yangu mzazi alinambia nikiwa mdogo kwamba unapoona / sikia dalili fulani - tatizo ni fulani na dawa yake ni fulani.
 
Back
Top Bottom