TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

waungwana wote nadhani wakati umefika wa kurejea eden kwa maana hii dunia imekuwa ya wajanja,kila mtu anazijua fedha matangazo mengi magazetini,radioni, luninga n.k dawa hizi ktk hospitali zetu watu wako kibiashara zaidi mgonjwa aweza kwenda akiwa nafuu akapewa dawa zilizochakachuliwa akazidiwa zaidi,lakini mimi napendekeza tusiache kwenda hospitali eti kwa sababu tu ya tiba mbadala tutakwisha kwa dawa zisizo na vipimo bana.

Unatjichanganya, mara turudi eden, mara tutumie dawa zenye vipimo! Umelewa nini?
 
Si lazima Aloevera, kuna madawa kama Atermisia, tangawizi, limao, ndimu, vitunguu swaumu n.k

Hata majani mabichi ya bhange ni dawa ya sikio linalotoka usaha, this is fo sho. Chai ya rangi ukiiweka limau ni dawa ya mafua na kikohozi, pia pumzi kubana.
Ala?
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
We understand that health should be the number one priority to everybody and we are taking this matter very serious. Western medicines have provided a significant revolution in the medical world but due to their higher content of harmful chemicals, they therefore bring about side effects to consumers. This is the main reason we at Precious Clinic decided to concentrate on alternative medicine, to release the harmful chemical burden to our customers. Precious Clinic has qualified personals: expertise in alternative medicine, physiotherapist and nutritionist. We combine the knowledge of our staff and our high technology equipment to provide the best service to our clients. We make a Difference, in what we do. Virtually anyone can benefit from our services. We help people who want to prevent themselves from getting preventable diseases and also those have particular health conditions like diabetes, hypertension, HIV etc. the following are the services we are offering: ➢ Health consultation ➢ Diseases diagnosis – high tech equipment ➢ Natural treatments ➢ Detoxification ➢ Therapeutic Massage ➢ Beautification ➢ Nutritional Consultation ➢ Family programs ➢ Health seminars to cooperate companies Our Clients Precious Alternative Medicine Clinic has a lot of services, everyone can benefit from our services as follows: ➢ Diabetes patient will get natural medicine, the medication will help the performance of pancreas and hence the insulin production. ➢ People living with HIV virus (PLWH): ➢ People who experience chronic Fatigue ➢ People who experience chronic headaches ➢ Overweight ➢ People who suffer from liver problems etc.CONTACT US 0754 - 401969 / 0659131305
Kwangu mimi, Kipaumbele cha kwanza ni KAZI.Baada ya hapo nitaweza kukidhi yanayofuata kama vile1. Msosi wa familia 2.watoto waende shule3.mahali pa kulala4.niiburudishe nafsi yangu na ya mke wangu na wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na burudani.5.afya ni ya mwisho. (sometimes afya ni athari za kisaikolojia, ukiona kwamba ukila chakula kisichokuwa cha moto utaumwa tumbo, itakutokea kweli)
 
Nimewaandikia watu wote wapate kusoma.Watanzania wengi leo afya is even not a secondary issue, wamekuwa ni watu ambao Wanazoea maradhi na kuwayachukulia maumivu mbalimbali ya mwili kama mambo marahisi na mepesi.

mwisho wa siku mtu anagutuka akiwa na afya mbaya sana, au tatizo limekuwa sugu kupita kiasi.

Precious Clinic inathamini afya ya kila mtu na kuamini afya is number one issue to be looked at.

Unaweza kuwa na kila kitu,lakini kama una afya nzuri wewe, au una mtu unauguza, kila kitu ulichonacho chaweza kuyeyuka.

Wanajamvi ni wakati muafaka sasa kuthamini afya zetu na kuzipa kipaumbele, ili kupunguza magonjwa sugu na premature death nk. Tujue umuhimu wa kuchunguza afya zetu kwa faida yetu wenyewe na taifa letu.

Yatupasa kukumbuka kuwa nguvu kazi nyingi inapotea leo,kwa sababu watu wengi hawana afya nzuri.

sema wa2 wengi ha2na afya nzuri.
 
Hata majani mabichi ya bhange ni dawa ya sikio linalotoka usaha, this is fo sho. Chai ya rangi ukiiweka limau ni dawa ya mafua na kikohozi, pia pumzi kubana.
Ala?
sawa kabsa limao ni kinga na dawa nzuri ya mafua mimi nimesahau vidonge.
 
Ujanja ujanja tu. Nguvu shamba mjini akili, tunafahamu maisha ya hao wanaojiita tiba mbadala (baadhi wametajwa hapo juu) maisha yao yalivyokuwa na hii leo wanatembelea makalio (mashangingi) ya milioni mia kwenda juu. Kwenye TV wakijinadi wapo kusaidia watu nyuma ya pazia dozi ya bei ya chini laki moja, na hiyo dozi yenyewe si kamili ukitaka dozi kamili utakoma!
 
Tulipofikia leo watanzania,ni lazima tukumbushwe hata ula.

Gambachovu,hatutangazi kwa kutaka biashara,hapana,tunafanya hivi kama awereness,angalau watu wachukue hatua tupunguze hali iliyopo leo ya watu kuwa na magonjwa sugu yasiyokuwa na majina.

Chukua hatua na jitengenezee utaratibu wa kupima afya yako,itakusaidia sana.

leo tunalalamika nchi inayumba,watu wanaumwa akili,ubongo zao hazifanyi tena kazi kama inavyotakika.

basi tuambie tujenge tabia ya kuchunguza afya badala ya kututaka tuje kwa clinic yenu.
 
Inawezekana ukawa sahii kwasababu moja au nyingine.Lakini niseme tu ndivyo inavyosikika kwa walio wengi.
tabia hii imewafanya watu wengi kudharau kupima afya zao.Naomba tusizungumze kwa hisia,tulipofika leo, kila Mtanzania anapaswa kujali afya yake kwa uthamani sana.

Inawezekana leo unajibu hivi kwa sababu hujaumwa wala kuuguza,na tuzingatie kitu hapa,swala si dawa flani bali swala ni je unamazoea ya kuchunguza afya yako?kama sivyo karibu Precious.

Hivi mnajua matatizo mengi yanayotesa wengi yanasababishwa na wao wenyewe kutokana na lyf style zao...? Angalia wa TZ walivyo na mitazamo ya ajabu... Wengi wanafkiri unene ndio afya nzuri huku wakisahau madhara ya unene na wakiweka elimu zao na mazoezi kapuni. mfano Angalia graduates wengi..wanamaliza vyuo wakiwa na miili slim, iliyo fit ila utashangaa mtu kapata kakibarua\kazi baada ya miezi 6 ukimwona utafkiri ni wawili wameunganishwa. Wanafungulia kila kitu hasa artificials...mwisho wa siku mpe miaka kati ya 3-10 baada ya shule utaanza kuskia ripoti za BP, miguu kuuma, kuhema kwa shida, bila kusahau mzigo wa matibabu ktk familia, kipato kushuka, n.k Mi nakumbuka nilifundishwa kuwa OBESITY na KWASHAKOO vyote ni MALNUTRITIONAL disorders. Watu tujitahidi kuchagua staili nzuri za maisha ili kuepuka matatizo yanayoweza kuepukika, na tuweze kuongeza kipato:spy:
 
You arevery right!...Majority ya clinic plus Hospital are after money..yaani unampeleka mtu mgonjwa hospitali like totally in critical condition badala ya kumtibia they ask you for monnie first who does that...anza kumtibia mgonjwa then ask for monnie later!...Basically hospital/clinic their all about business and not the life saving of the human being!....rudiculously crazy!

Clinic nyingi sasa hivi mpo after money sana,
Naweza kuja hapo kwako kwa check up tu ukanichaji LAKI,
Na tiba yenyewe inakua ya kisani sanii sana.
Karibu kwangu nikupe dozi ya Alovera ni kiboko.
 
You arevery right!...Majority ya clinic plus Hospital are after money..yaani unampeleka mtu mgonjwa hospitali like totally in critical condition badala ya kumtibia they ask you for monnie first who does that...anza kumtibia mgonjwa then ask for monnie later!...Basically hospital/clinic their all about business and not the life saving of the human being!....rudiculously crazy!
Binti Maringo You are very right Nigerian girl.
 
Last edited by a moderator:
Every dayz as comez the mony are become better than utu thuz y wadada wanauza mili il wapate coz pesa ina thaman
 
alternative medicine ni supplementary medicine.

Sio kweli! Ni "alternative", yaani, mbadala. Mbadala wa nini? Mbadala wa madawa yote mengine ambayo yanatengenezwa viwandani, na pia, mbinu zake za utabibu ni tofauti. Dawa asilia, zitokanazo na mimea (majani, magamba na mizizi) ni mojawapo ya dawa mbadala.

Supplementary medicine si dawa; ni vitu ambavyo ni nyongeza, yaani vinachochea au kusaidia tiba endelevu pale inapotumika, kama vile vitu vinavyosaidia chakula kufanya kazi yake kwa ufanisi zaidi (GNLD, Forever Livining, TIENS, Ardyss, n.k.).

Nadhani umeelewa.
 
Juma la jana nilienda hosp. moja maarufu tu hapa bongo kwa ajili ya kuangalia afya yangu.
nilipoingia kwa daktari akanielekeza nikafanye ulra sound, kufika kwenye ile section wakaniambia ninywe maji lita moja na nusu kuanzia saa tano na nusu na nitakapojisikia nina haja ndogo ndo nirudi kwa daktari, kweli nikatoka kidogo nje nikanunua maji nikayanywa, baada ya lisaa limoja kweli nikwa nasikia haja ndogo na nikawaendea, la ajabu niliambiwa subiri hapo nje, hadi kufikia saa saba na nusu ikabidi kwa kweli niende toilet. eti saa nane kasoro ndo wananiita na jibu ni kuwa huwezi kupimwa kwa kuwa mkojo hakuna tena. Hivi kweli naweza kurudi tena mimi hosp. ili nikachek afya yangu.


kwa maneno mengine hosp. mnakatisha tamaa, ndo maana tunawaachia wale walio wagonjwa zaidi.

Tulipofikia leo watanzania,ni lazima tukumbushwe hata ula.

Gambachovu,hatutangazi kwa kutaka biashara,hapana,tunafanya hivi kama awereness,angalau watu wachukue hatua tupunguze hali iliyopo leo ya watu kuwa na magonjwa sugu yasiyokuwa na majina.

Chukua hatua na jitengenezee utaratibu wa kupima afya yako,itakusaidia sana.

leo tunalalamika nchi inayumba,watu wanaumwa akili,ubongo zao hazifanyi tena kazi kama inavyotakika.
 
Back
Top Bottom