Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010

Solomon David

JF-Expert Member
Mar 1, 2009
1,148
16
Ya nini kupiga mzunguko wa kichaka (hit around the bush)?

Waliyofanya ccm kwenye chaguzi za meya Arusha na kwingineko, ni kivuli tu cha yale waliyofanya mwezi november mwaka jana.
 
Na kama pamoja na uchakachuaji waliishia 60% ujue walikuwa wamepigika vibaya sana.
Hawana dhamiri ndio maana wataendelea kuyarudia hayo kila wapatapo nafasi.

Kama tunatakia taifa hili mema kwa vizazi vijavyo basi tulio hai leo tudai mabadiliko ya kweli (katiba mpya) kila mmoja kwa nafasi yake.
 
mzee leo umeamka na mkulu eh, umejaza topics kuhus mkulu..mpaka tunakushtukia kwamba una jambo wewe
 
mzee leo umeamka na mkulu eh, umejaza topics kuhus mkulu..mpaka tunakushtukia kwamba una jambo wewe

of course nina langu jambo na wezi wooote duniani.
Sina huruma wala simile na wezi na majambazi wa aina yoyote ile.

Au wewe unaonaje?
 
Inawezekana aliiba au hakuiba ila kitendo cha kucheleweshewa matokeo ilitujengea hofu ya mazingira ya wizi.
Yaliyopita si ndwele...
 
natamani kujua maana yake.

Unaweza kugoogle ndugu!
Madrasah_pupils_in_Mauritania.jpg
 
Back
Top Bottom