Tusaidiane: Mwenye GPA 2.7

Inategemea aliyetangaza kazi anahitaji mwenye GPA ya ngapi? Au kuna wengine hawahitaji mambo ya GPA, bali uwezo wako wa kiutendaji na watakupima kwa Interview ingawa GPA ni kipimo kizuri kuwa hata kama hauna uzoefu, itakuwa ni rahisi kufundishika ukiwa kazini.
 
huu utoto wa kulingishia GPA alafu kichwani 0 sijui utaisha lini

mkuu hata uwe na 2.0 alafu kichwani uko poa kazi unapata
 
Kwa kupata nafasi za "Tutorial, assistant, lecturer" itakuwa ngumu kiasi chake. Pia kupata kazi zinazotangazwa na crdb bank panahitaji uwe atleast gpa ya 3.5 (upper second class) kwa undergraduate degree.
kazi utapata tu, sio lazima upate kati ya hizo nilizokutajia. Komaa kutafuta zngne, nilizokutajia hapo juu usije uka apply km utakuwa na pesa ya mawazo (limited financial budget) maana utaumia alafu itakuongezea usongo wa mawazo na utakuja kusema kupata ajira ni kazi ngumu sana.
 
Good point mkuu, hapo ni kucheza na taasisi sana.
 
Kwa kupata nafasi za "Tutorial, assistant, lecturer" itakuwa ngumu kiasi chake. Pia kupata kazi zinazotangazwa na crdb bank panahitaji uwe atleast gpa ya 3.5 (upper second class) kwa undergraduate degree.
kazi utapata tu, sio lazima upate kati ya hizo nilizokutajia. Komaa kutafuta zngne, nilizokutajia hapo juu usije uka apply km utakuwa na pesa ya mawazo (limited financial budget) maana utaumia alafu itakuongezea usongo wa mawazo na utakuja kusema kupata ajira ni kazi ngumu sana.

Mkuu

mimi nina 3.5 ninataka niapply tutorial assistant.....na ktk vigezo nimekidhi vyote isipokuwa wao wameandika at least 3.8 GPA.

Je ni apply tu?
 
huu utoto wa kulingishia GPA alafu kichwani 0 sijui utaisha lini

mkuu hata uwe na 2.0 alafu kichwani uko poa kazi unapata
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora
 
Rich dady and poor dady
 
Safi..... umetoa funzo kwa wanaoelekea chuo kikuu na waliopo... maana wote tukisupport hizo GPA za 2 madogo watazembea na wengi wataishia kudisco
 
utumishi sio wanaguzi ukiwa na gpa ya 4.5 na mwenye gpa ya 2.7 wote mnaitwa atakayefaulu interview ndio atakayeajiliwa
Jamaa yangu alikuwa na GPA 2.5 kwenye intavyuu ya Utumishi alipata kazi na akawaaacha wenye GPA za 4.8, kikubwa ni kuwa na uwezo hasa katika professional yako na kujiamini, GPA kali si kigezo cha kupata kazi siku hizi.
 
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora
Ulichoandika si kweli, kama wewe umesoma vyuo vya hapa Bongo utalikili hili. Tuliza tu mawazo yako.
 
Mtu kwenye somo fulani kapata C, alafu amzidi mtu mwenye A kwenye kulielewa hilo somo? Huo ni muujiza mkuu. Labda akijibu maswali ya tell us about yourself na siyo ya taaluma! Never on earth, labda kama mwmenye A alipewa bure! Gpa kubwa means aliscore vizuri! Mpaka muujiza utokee au hizo gpa ziwe zimetoka vyuo tofauti!
 
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa ngumu! Labda kama unatoka kwenye familia bora

mkuu umebishi kama kubishi ama umejenga hoja. kiukweli vyuo vyetu kuna mambo ya ajabu sana ikiwemo kuiba/kuvujisha mitihani, kupewa maelekezo usome wapi na nini(hapa unasoma kwa ajili ya mtihai tu sio kukujenga)

kwa iyo usishangae mwenye A (inayoambatana na mazingira tajwa hapo juu ) kuzidiwa maarifa na mwenye c (aliyeipata kihalali)
 
Ni kweli kanisa though what u Hv can be determined by what you scored.
 
Udsm mbona.hiyo tamu

SAUT Kwetu Hiyo Ni Failure Tena Ya KUTUKUKA Kabisa. Kumbe Watu Kumbe Mna GPA Za KUSIKITISHA Hivi? Acheni WAKENYA, WAGANDA Na WANYARWANDA Waje Wachukue AJIRA Zetu Na Sisi Watanzania Tubaki Tu Ktk Kupigana MAJUNGU, Kufanyiana FITNA Na Kurogana Kwa Kutoana MISHIPA.
 
Back
Top Bottom