Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,749
- 11,802
Ni kweli sio idara, ni taasisi kamili yenye kurugenzi na idara ndani yake.
Sheria inasema ni idara. Bahati mbaya nahisi hii ni sawa na mganga hajigangi! Ni sawa na Rais aliyeapa kulinda katiba kutaka kuifumua, si rahisi. Kuna mkwamo mahali.Ni kweli sio idara, ni taasisi kamili yenye kurugenzi na idara ndani yake.
Immigration nao ni Jeshi !!??Immigration kwa utaratibu mpya ni Jeshi, zamani ndo walikuwa wanaitwa Idara
Ni Taasisi...inaitwa idara sababu ya mazoea ilianza kama idara kabla ya kuwa taasisiBakita watusaidie kama wapo humu ili wote tutamke maneno kwa usahii.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Siku hizi wanasiasa wanaitia doa sana, ndio ilikuwa maana yangu.Kila jina huwa na maana yake.... taasisi, wakala, idara..mamlaka n.k huitwa hivyo kulingana na wigo wa majukumu, maamuzi na utendaji.
Ipo Chini ya wizara ya utumishi na utawala bora.... Vyombo vya usalama viwili vipo Chini ya hii wizara TISS na TAKUKURUNingependa kufahamu kma ipo chini ya wizara ya Mambo ya ndani au laa??
TISS haipo wizara ya mambo ya ndani ipo utumishi na utawala boraWizara ya mambo ya ndani...
CCM kamwe abadan hawawezi kuifanya TISS kuwa Agency wala kuwapa uhuru wa kujiendesha.Wakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sio jf pekee hata kitaa hasa bar watu wakianza hizi mada kila mtu anakua mjuaji na itachukua masaa matatu kujadiliMada pendwa jf hizi tiss tiss
Ova
Haipo chini ya UtumishiTISS ni idara mojawapo katika ofisi ya Rais , na iko chini ya Rais kupitia hio wizara ya utumishi na upuuzi mwingine
Hiyo ni idara ndani ya taasisi ya ulinzi na usalama wa taifaWakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tatizo mna elimu za kuunga unga mnatafsri vitu direct.
Kina Waziri anawajibika ambae ni waziri wa ofisi ya Rais, utumishi na Utawala Bora, kwenye channel wako na multiple, direct na throughHaipo chini ya Utumishi
Ipo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu
Wakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?
Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?
Tuache wajuvi watujuze!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Elimu ya kuunga ndio ipi? Unanifahamu?Tatizo mna elimu za kuunga unga mnatafsri vitu direct.
Mfano Marekani, Wizara ya Mambo Ya Ndani inaitwa Department of Homeland Security, Nje wanaiita Department of State.
Hapo vipi? Okay, wewe elimu yako ngumbaro, sawa ila fanya uwezavyo watoto wako wapate elimu bora
Kati ya Takukuru na Tiss wapi Kuna maslahi mazuri zaidi?Ipo Chini ya wizara ya utumishi na utawala bora.... Vyombo vya usalama viwili vipo Chini ya hii wizara TISS na TAKUKURU
Sent from my 701SO using JamiiForums mobile app
Upeo wako tu unazungumza yote. Do I need more?