Turekebishane: TISS ni Idara au Taasisi?

Immigration kwa utaratibu mpya ni Jeshi, zamani ndo walikuwa wanaitwa Idara
Immigration nao ni Jeshi !!??
Jeshi Nchi hii ni Moja tu Jeshi la Wanachi.
Hizo sijui Police, Sijui Tiss ni Idara zinazolisaidia Jeshi la Wanachi kazi. ( Wazee wa kazi kazini).
Eti Jeshi la Uhamiaji sio kweli!!
 
Kila jina huwa na maana yake.... taasisi, wakala, idara..mamlaka n.k huitwa hivyo kulingana na wigo wa majukumu, maamuzi na utendaji.
Siku hizi wanasiasa wanaitia doa sana, ndio ilikuwa maana yangu.
 
Wakuu,

Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.

Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?

Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?

Tuache wajuvi watujuze!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
CCM kamwe abadan hawawezi kuifanya TISS kuwa Agency wala kuwapa uhuru wa kujiendesha.

Kimsingi TISS inatumikia matakwa ya Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Ni idara ambayo imekamisiwa madawati (desks) kibao na wanaishia kutoa taarifa tu na siyo kushughulikia masuala nyeti ya Taifa.

Tuamke Watanzania tuhamasishe Katiba Mpya ili tuunde taasisi imara zinazowajibika na kuwajibisha kwa mujibu wa Katiba na Sheria
 
Wakuu,

Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.

Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?

Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?

Tuache wajuvi watujuze!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni idara ndani ya taasisi ya ulinzi na usalama wa taifa
Ni idara kwakuwa wafanyakazi na watendaji wake hutolewa ama kupelekwa kwenye taasisi nyingine kufanya kazi
 
TISS sio department hivyo kuita idara sio sawa!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tatizo mna elimu za kuunga unga mnatafsri vitu direct.

Mfano Marekani, Wizara ya Mambo Ya Ndani inaitwa Department of Homeland Security, Nje wanaiita Department of State.

Hapo vipi? Okay, wewe elimu yako ngumbaro, sawa ila fanya uwezavyo watoto wako wapate elimu bora
 
Idara hutegemea serikali kuu kujiendesha na haitoi gawawo kwa serikali. Ingawa ina njia za kukusanya mapato. Idara huenda had I kila wilaya.

Kwa ujumla mgawanyo wake ttz unachanganya sana.

Taasisi hujitegenea kujiendesha na haitoi gawiwo. Taasisi huwa in lazima ienee kila wilaya.

Kuna bodi ambazo zinajiendesha sawa na taasisi.

Mamlaka kama yalivyo mashirika hujitegemea. Si lazima ienee kila kona ya tz. Mamlaka hujiendesha yenyewe kwa kukussnya mapato na kutoa gawiwo kwa serikali pale inapotimiza malengo ya ukusanyaji. Mashirika hupewa ruzuku kwa serilikali ili baadae iweze kujiendesha.

Ukishajua haya utaelewa kuwa TISS ni idara.
Ktk wizara ya elimu kuna vyote.

Taasisi ya elimu
Mamlaka ya elimu
Idara za elimu
Bodi ya elimu
Wakuu,

Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.

Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani najua taasisi nyingi za umma zilijulikana kama idara sababu hazikuwa zinajitegemea ila baada ya marekebisho makubwa na kuundiwa sheria zake zipo idara sio idara tena ikiwemo TISS. Kwanini imekuwa kawaida taasisi ya usalama wa taifa kuitwa Idara?

Inawezekana sifahamu ila naomba wajuvi watusaidie, tunapaswa kuita Taasisi ya Usalama wa Taifa au Idara ya Usalama wa Taifa?

Tuache wajuvi watujuze!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mna elimu za kuunga unga mnatafsri vitu direct.

Mfano Marekani, Wizara ya Mambo Ya Ndani inaitwa Department of Homeland Security, Nje wanaiita Department of State.

Hapo vipi? Okay, wewe elimu yako ngumbaro, sawa ila fanya uwezavyo watoto wako wapate elimu bora
Elimu ya kuunga ndio ipi? Unanifahamu?

Back
Top Bottom