Tupige kura Mawaziri na wabunge waliofanya vizuri Bunge la Bajeti 2023/2024

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
112
140
Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili.

Mawaziri

1. Juma Aweso
2. Innocent Bashungwa
3. Angela Kairuki
4. Kapteni Mkuchika

UPANDE wa Wabunge

1. Tabasamu
2. Msukuma
3. Kingu
4. Mnyeti
5. Prof. Mkumbo


Wengine tuendelee.
 
wote wanaokaa lile jengo hakuna aliyefanya vizuri,
labda ungekuja na orodha ya waliofanya vibaya zaidi
 
Back
Top Bottom