CCM imekubali ife kuwabeba mawaziri hawa?

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili kukinusuru chama ni nini?

Mawaziri wanaoongoza kulalamikiwa na wananchi ambao ni Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ni.

1. Mwigulu Nchemba (Kashfa za Mikopo, SGR, Mfumko wa bei, kuhamia burundi nk)

2. Januari Makamba (Kashfa za Bwawa la Mwalimu Nyerere, Kuanzisha Mgao wa Umeme kwa faida binafsi, kupandisha bei za mafuta kunufaisha watu wao wanaofanya biashara za mafuta, Bajeti hewa ya Trilioni 11 za ukarabati njia za umeme), kama mnaona nasema uongo njooni mniue, kashfa za kununua wabunge kupitisha bajeti yake ya Nishati, kashfa ya majiko ya gesi, Kashfa ya kuajiri jamaa zake na kuwasambaza wilaya zote ili kumletea umbeya wa siasa za urais wake kwa kisingizio cha waratibu wa miradi ya REA wakati Tanesco ina mameneja kila wilaya)

3. Makame Mbarawa (Kashfa za SGR, Trilioni 2.9 ya Tanroads ambayo haijulikani ilipo, kashfa ya miradi ya Barabara na Madaraja kutumia fedha nyingi)

4. Nape Nauye (Kashfa ya kupandisha gharama za mawasiliano Bando na dakika kunufaisha makampuni ya simu kuwaumiza wananchi, kashfa za TTCL, kununua vyombo vya habari visiripoti matatizo ya wananchi)

5. Hussein Bashe(Kashfa ya Mbolea, Kashfa ya Mradi wa BBT ambao hadi leo haijulikani vijana hao walipatikana vipi, kashfa miradi ya umwagiliaji

6. Angela Kairuki (Kashfa ya kufukuza wananchi Ngorongoro, Mbarali, kashfa ya kuendesha opresheni za kufilisi wafugaji nchi nzima)

HAO wote ni WAJUMBE wa NEC ambao Rais Samia anawategemea ndio wapitishe jina lake mwaka 2025 atakapotaka kugombea tena nafasi ya urais.
 
Huu uzi hauna maisha
Mimi pia niliuliza katika thread, kwann Makamba, Mbarawa, Mwigulu, nape hawajafukuzwa Hadi sasa, matokeo, Uzi uliungwa na Ule wabkauli ya Mpina kuhusu hatua kutochukuliwa baada ya Ripoti ya CAG.

Sijui Kwa nini hawataki mjadala huu ukuzwe!
 
Hatua zichukuliwe na Mamlaka za uteuzi au Watanzania....?? Jibu liko wazi.Tutakafari na kuchukua hàtua.
 
Huwa natamani, ccm wawe sehemu moja, Pale bungeni, Au Dodoma White House yao, na ikulu kwenye cabinet, harsfu ishuke kombola moja liteketeze wote kwa mpigo!
Nchi hii itakuwa imepata ahueni
 
CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili kukinusuru chama ni nini?

Mawaziri wanaoongoza kulalamikiwa na wananchi ambao ni Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ni.

1. Mwigulu Nchemba (Kashfa za Mikopo, SGR, Mfumko wa bei, kuhamia burundi nk)

2. Januari Makamba (Kashfa za Bwawa la Mwalimu Nyerere, Kuanzisha Mgao wa Umeme kwa faida binafsi, kupandisha bei za mafuta kunufaisha watu wao wanaofanya biashara za mafuta, Bajeti hewa ya Trilioni 11 za ukarabati njia za umeme), kama mnaona nasema uongo njooni mniue, kashfa za kununua wabunge kupitisha bajeti yake ya Nishati, kashfa ya majiko ya gesi, Kashfa ya kuajiri jamaa zake na kuwasambaza wilaya zote ili kumletea umbeya wa siasa za urais wake kwa kisingizio cha waratibu wa miradi ya REA wakati Tanesco ina mameneja kila wilaya)

3. Makame Mbarawa (Kashfa za SGR, Trilioni 2.9 ya Tanroads ambayo haijulikani ilipo, kashfa ya miradi ya Barabara na Madaraja kutumia fedha nyingi)

4. Nape Nauye (Kashfa ya kupandisha gharama za mawasiliano Bando na dakika kunufaisha makampuni ya simu kuwaumiza wananchi, kashfa za TTCL, kununua vyombo vya habari visiripoti matatizo ya wananchi)

5. Hussein Bashe(Kashfa ya Mbolea, Kashfa ya Mradi wa BBT ambao hadi leo haijulikani vijana hao walipatikana vipi, kashfa miradi ya umwagiliaji

6. Angela Kairuki (Kashfa ya kufukuza wananchi Ngorongoro, Mbarali, kashfa ya kuendesha opresheni za kufilisi wafugaji nchi nzima)

HAO wote ni WAJUMBE wa NEC ambao Rais Samia anawategemea ndio wapitishe jina lake mwaka 2025 atakapotaka kugombea tena nafasi ya urais.
Hapo uliposema ccm ni chama makini nimepuuza huu Uzi. Ccm haibebwi na mawaziri, Bali vyombo vya dola.
 
Sasa hapo kwa Anjela unamuonea tu
 
Back
Top Bottom