Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

Mbio zako ndizo zitakazo kuokoa (ukuta flani uchochoroni tandale kwa mtogole.usiku hauna taa pembeni kuna kijiwe cha mateja)
 
1. Mboga dagaa, kuku hamu tu

2. Usidharau nazi, embe tunda la msimu

3.Heshima pesa, shikamoo kelele tu..
 
  1. Wamekataa kona wamekubali penalti.
  2. Maskini hafilisiki.
  3. Ng'ombe hata akikonda hawi mbu.
  4. Akunyimaye kunde akupunguzia nukanuka.

Nitarejea baadaye naenda kupata gahawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom