Bandiko kama hili lilishakuwepo kipindi flani. Wengi walitupia misemo kibao...ila nimeuona mmoja juzi ngoja niuongeze...."imekushinda penati utaweza kona"

hata mbuyu ulianza kama mchicha, kusoma kuelewa_kukesha mbwembwe,
Shida ikiwa sumu,haponi mtu.
Ukisinzia tunakusachi...
msafara wa mamba na kenge wamo