KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,098
- 1,345
Ebu tusaidiane hapa kwa hili, kwa yeyote ambaye alishawahi kufanya mapenzi anajua utamu alioupata sintofahamu kwangu binafsi inakuja sijui utamu kwa upande wa pili, naomba kujuzwa na wadada utamu kwa upande wao ukoje na bila shaka na wao wanatamani kujua utamu tuuopatao wanaume!
Ebu tudadafue kinaganaga tujuzane.
Ebu tudadafue kinaganaga tujuzane.