NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,403
- 13,015
Hakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.
Hicho kitendo kimenifariji sana tena sana hakika aliyesema "wanawake wanahuruma " Nampa big up kwa asilimia Mia. Haiwezekani na weusi wangu huu mtoto mzuri Kama Cute Wife anakuja inbox kunijulia hali? Huo ni mfano tu nimetolea kwa huyo cute wife.
Nasimama hapa natoa pongezi za dhati kabisa kutoka kwenye uvungu wangu wa moyo yaani moyo mkunjufu hakika nina farijika sana na ninasikia utamu kwenye moyo wangu na mbarikiwe/muwe na moyo huo huo naimani ipo siku mtanibariki mpaka tunda.
Nawasilisha pongezi zangu hizo za dhati kwa wadada wa JamiiForums mnaokuja inbox kwangu na msiokuja pia.