Tupeane ujanja jinsi ya kudownload video you tube

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,451
9,375
Habari zenu wadau, you tube kwa sasa kama wamebana hivi kushusha mzigo, kama kuna mdau anajua njia mpya ya kudownload video moja kwa moja atuambie

Zamani tulizoea kuandika "ss katika link kisha tunashuka mzigo sasa hivi
 
Tafuta app inayoitwa Tubemate. Hii haipatikani Playstore kwa sababu in mojawapo ya piracy app. Google utaipata, i-download kisha fungua You tube kupitia huko (INA link ya YouTube)
 
Nenda you tube, copy link ya video unayotaka, kisha ingia online you tube video download, afu ndo upaste chagua na format uipendayo ni rahis tu, kisha download.
 
Mkuu nakuletea mbinu mbadala ambayo ukifanikiwa kuitumia utanishukuru na pia utarudisha mrejesho.hapa unaweza kupakua video kweny Facebook,Instagram,twitter,you tube nk.na pia video zako zitakaa kwenye file lako la galary kama kawaida pia unaweza kupakua Music kwa njia ya Mp4,Mp3 Kila la kheri.

App inaitwa: Vidmate
 
Tafuta app inaitwa Snaptube....Hii haipatikani play store...Nenda kai search google utaipata...Hii itakuwezesha kudownload video website yoyote na social network yoyoye ile....
 
Habari zenu wadau, you tube kwa sasa kama wamebana hivi kushusha mzigo, kama kuna mdau anajua njia mpya ya kudownload video moja kwa moja atuambie

Zamani tulizoea kuandika "ss katika link kisha tunashuka mzigo sasa hivi
Videoder ipo vizuri sana
 
Hujaspecify kwa simu au laptop?
Anyway kwa simu tumia app inaitwa tubemate is simply the best
Kwa computer tumia idm
 
Mkuu nakuletea mbinu mbadala ambayo ukifanikiwa kuitumia utanishukuru na pia utarudisha mrejesho.hapa unaweza kupakua video kweny Facebook,Instagram,twitter,you tube nk.na pia video zako zitakaa kwenye file lako la galary kama kawaida pia unaweza kupakua Music kwa njia ya Mp4,Mp3 Kila la kheri.

App inaitwa: Vidmate
Na tubemate pia na videoder zote ziko poa kabisa.
 
Back
Top Bottom