Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,341
- 4,080
Mzee wangu ni moja ya wale wazee ambao ni "typical mkurya"
So katika jamii yetu huku wengi unakuta kijana anaolea nyumbani then baadae ndio anatoka kwenda kujitegemea.
So, kipindi hicho mimi najiandaa kutoka nyumbani kutafuta maisha, Mzee ananiambia hakuna kuondoka hapa nyumbani bila ya kuoa kwanza. Na alipoona nazidi kujitetea tetea akasema bila hivyo sitoi mahali.
Ilibidi nifuate matakwa yake kwa maana pia sikutaka anung'unike kama ningekaidi. So mwana nikaanza kutafuta binti wa kuoa. Aisee haikuwa kazi rahisi na hata nilukuwa najiuliza binti gani atakubali kuja kuishi na mimi nyumbani.
Nakumbuka binti mmoja tulifahamiana, nikamuapproch na hata kumpa malengo yangu, dah binti alikuwa akinidharau kutokana na situation niliokuwa nayo. Kuna wakati aliniambia mimi sitaki kulishwa na mama mkwe. Binti hakunichukuliwa kama kijana serious na iliniumiza sana.
Luckily, baada ya kusota na maombi mengi, baada ya muda nilikuja kumpata mtoto fulani mrembo na nikamuapproch na sikuficha chochote kuhusu mimi na nikamshirikisha malengo yangu. Mdogo mdogo binti alinikubali, nikatoa mahali na kumuuoa. Na nilikuta mtoto bado yuko sealed, hahaha,. Tulishi home wakati napambana na maisha hadi pale tulipokuja kuhama baada ya kupata mtoto mmoja.
Maisha ya pale nyumbani aliya adapt, mama na baba aliwatii na kuheshimiana na mashemeji na mawifi zake.
Leo namshukuru Mungu mambo ni murua, ndoto zimetimia na binti tuko nae tunaendelea kulisongesha life.
So i will forever cherish her for that.
Tusikie stori yako>>>>