mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,857
Imeandikwa "Ni bora Mwanaume asimguse Mwanamke, lakini kwasababu ya ngono kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe, mke hana mamlaka juu ya mwili wake na mume hana mamlaka juu ya mwili wake, MSIWE MKINYIMANA, bali pangianeni siku za kupeana"
Kwa hiyo kumbe ni Sheria na ni haki ya kila mmoja wenu kuufurahia mwili wa mwenzake, wakuu Wanaume mlio kwenye ndoa mnakabiliana vipi ikiwa mkeo anakupangia au hakupi unyumba na ukiangalia hakuna sababu za msingi?