Tuongee Asubuhi STAR TV: Mgogoro Libya...Changia Mawazo

Kuna mheshimiwa mmoja alichangia kuwa wakati walipokuwa wakiitembelea Libya walikuwa" wanalazimishwa" kusoma kitabu cha kijani cha comred Gadda f"Green Book" kwani walikuwa wanaviweka vitabu hivyo hotelini. Kwa jinsi nilivyomuelewa hali hiyo ilikuwa inamkera, kisa kitabu hicho kilikuwa kin kandamiza mawazo ya walibya. Hivi kuna ubaya gani kwa kiongozi wa nchi kuainisha miiko inayoongoza matendo yake kama kiongozi na wale anaowaongoza!? Comred Gaddaf alikuwa sahihi kufanya hivyo ili na ninyi(wageni) mnaokwenda kutembelea nchi hiyo muheshimu taratibu za wenyeji wenu.

Ebu kisome kitabu hicho unieleze kilikuwa na makosa gani, link hii hapa chini.

http://www.mathaba.net/gci/theory/gb.htm
 
The Green Book
Replace fear of the unknown with curiosity! - I like that!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom