Tunza mazingira kwa kutumia Gas kwa Tshs 50,000tshs kwa miezi SITA

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Aliongeza gesi asili ni nafuu kwani mteja aliyekuwa anatumia mitungi miwili ya LPG ya kilo 15 kwa mwezi atapunguza gharama kwa kutumia gesi asili ya Sh. 50,000 kwa miezi sita. Mtungi wa kilo 15 wa LPG huuzwa Sh. 55,000.Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Petroli wa TPDC, anayeshughulia mradi huo, Modestus Lumato, aliliambia NIPASHE Jumapili, katika mahojiano ya jitihada za TPDC katika kutunza mazingira na kuendeleza matumizi ya nishati mbadala majumbuni.
MY TAKE
Big up its a nice initiative but lets it be widely distributed all over DSM and Tanzania atlarge for more people to use the gas and thus conserve the environment.
 
Alifahamisha kuwa mradi huo unasambaza gesi asilia inayotoka Songosongo mkoani Lindi lakini pia utatumia ile ya Mtwara baada ya ujenzi wa bomba jipya la gesi la Mtwara –Dar kukalimika mwakani. Alisema ufungaji ulianzia kwenye nyumba za TPDC Mikocheni ambazo wakazi wake wameanza kuitumia.
Umeanzia uko so utasambaa
 
Back
Top Bottom