Tungo: Acha tamaa za paka

nentewene

Senior Member
Jun 9, 2017
144
94
acha tamaa za paka, kuparamia majirani.
roho ikakutoka, vya watu kuvitamani.
mchana umeokoka, usiku hayawani.
kila mtu wamtaka, umtupe kitandani.
hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
 
acha tamaa za paka, kuparamia majirani.
roho ikakutoka, vya watu kuvitamani.
mchana umeokoka, usiku hayawani.
kila mtu wamtaka, umtupe kitandani.
hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
Nikiacha uhuni, nitafanya kazi gani
Dar sio msituni, vipi niishi kama Nyani
Tamaa ni utamaduni, ipo tangu zamani
Mi sio katuni, Acha nipate burudani
 
Seat ya pili nakaa karibu na dirishani
Chai nimekunywa sina shaka asilani
Tungo hizi nataka tuziendele mpaka jioni
Kama bundle ninalo kama lote ndegeJohn
 
Nikiacha uhuni, nitafanya kazi gani
Dar sio msituni, vipi niishi kama Nyani
Tamaa ni utamaduni, ipo tangu zamani
Mi sio katuni, Acha nipate burudani
Dar ni mjini, ila kua makini.
usizipende bikini, zitakutia madeni.
asuhui upo na queen, usiku zaituni.
tuliza wako ukuni, utabaki na amani.
ila ukizid kutamani, ishi na sabuni.
 
Seat ya pili nakaa karibu na dirishani
Chai nimekunywa sina shaka asilani
Tungo hizi nataka tuziendele mpaka jioni
Kama bundle ninalo kama lote ndegeJohn
kaa kwa kutulia, uipate burudani.
acha kuchungulia, hebu ingia ndani.
tuliza wako mkia, kua kama mgeni.
 
Dar ni mjini, ila kua makini.
usizipende bikini, zitakutia madeni.
asuhui upo na queen, usiku zaituni.
tuliza wako ukuni, utabaki na amani.
ila ukizid kutamani, ishi na sabuni.
Sabuni sio mpango, Bali ni mateso tupu
Utalichubua tango, ukimpenda kupiga puchu
Kuna mademu wa viwango, bei chee Hadi buku
Unapita kila mlango, mradi utoe ruzuku
 
Seat ya pili nakaa karibu na dirishani
Chai nimekunywa sina shaka asilani
Tungo hizi nataka tuziendele mpaka jioni
Kama bundle ninalo kama lote ndegeJohn
Sio Tu Hadi jioni, Bali n kila siku
Magoli Ka Fistoni, hapa ndo kila kitu
Natamba Ka mkoloni, au Ngoma za mchiriku
Kwakua ameshakufa John, Acha mama tumsifu
 
Sabuni sio mpango, Bali ni mateso tupu
Utalichubua tango, ukimpenda kupiga puchu
Kuna mademu wa viwango, bei chee Hadi buku
Unapita kila mlango, mradi utoe ruzuku
Kutoa toa ruzuku, ushakuwa zumbukuku/
Kucharuka ruka huku, mnapoteza hizo buku/
Mikeka ya buku buku, kwisha kibubu kwa siku/
Tamaa mbaya kinaku, bora miguu ya kuku/
 
Kutoa toa ruzuku, ushakuwa zumbukuku/
Kucharuka ruka huku, mnapoteza hizo buku/
Mikeka ya buku buku, kwisha kibubu kwa siku/
Tamaa mbaya kinaku, bora miguu ya kuku/
We Kula miguu ya kuku, minofu ntakula Mimi
Huku Tatu huku Atu, nakula Raha kama nini
Mmoja ananibusu, mwingine anashuka Chini
Ya Mac Muga hayanihusu, siwezi kufa kilaini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom