Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru

Kuna wale wanokuwa usingizini ila wakisikia tu wanaoafiki waseme NDIYO wanakurupuka unaskia NDIYOOOOOOOOOOOO bila hata kujua huyo ndio effect yake ni nini
 
Alikuwa anachangia kwenye bunge na akanukuu kauli ya Hosea aliyoitoa kwa balozi ya marekani kwamba rushwa kubwa zinashindikana kukomeshwa kutokana na vingozi wa juu kuzikingia kifua. Anasema Kauli hii inaonyesha hatari iliyopo kama Rais wa nchi anaingilia maamuzi ya takukuru na watumishi kwa kuogopa kufukuzwa wanaacha kuziandama rushwa kubwa.

Bila kumungunya wala kumeza meza maneno anaomba bunge hilo kujadili jambo hilo na wahusika wazomee bungeni kabla hawajakutana na nguvu ya umma. wabunge kama hawa ndio tunaowahitaji na sio wale wa ndiooooooooooooo na kupiga meza za bunge hovyohovyo

Waoshwa vinywa wa magamba watakwambia Lissu anatafuta umaarufu wkt swala la TAKUKURU ni MTAMBUKA
 
Back
Top Bottom