Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru

Tunahitaji kufanya overhaul kubwa ya kikatiba ili taasisi kama Takukuru zipate uhuru wa kufanya kazi zake bila kuingiliwa na hao wanaoitwa 'wakubwa'.
 
Kuna kila haja na sababu kwa PCCB kuwajibika kwa BUNGE.
Then hao wabunge wakitafuna rushwa watachunguzwaje, si wataleta vitisho kama Spika 6 alivyotishia kuchukua hatua mkewe alipodakwa na PCCB? Tusiangalie mambo kwa single direction only!
 
Hii haina ubishi ndo maana hata mama spika hakutaka kufutwa kwa kauli.Basi tunamsubiri daktar akiwakilishwa na kanjanja SALVA akanushe vikali
 
TUNDU LISSU SIO SAWA NA WABUNGE 100 WA CCM,YEYE NI SAWA NA WABUNGE WOTE WA CCM NA MWENYEKITI WAO 'DR' FEKI,MAKAMU WAO mSEKWA NA KATIBU MUKAMA.HAKUNA KUPINDISHA WALA KULAINISHA KAULI CDM,WANATOA KITU LIIIIVE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lisu ni sawa na wabunge 20 wa ccm. Na amesema suala la Rada lijadiliwe bungeni na wahusika wazomewe hadharani
 
Your highness!
Katiba mpya itamdhibiti spika na wengine wote wenye mamlaka ya kimungu lakini majambazi so pccb lazima iwajibike kwa bunge

then hao wabunge wakitafuna rushwa watachunguzwaje, si wataleta vitisho kama spika 6 alivyotishia kuchukua hatua mkewe alipodakwa na pccb? Tusiangalie mambo kwa single direction only!
 
Salva Rweyemamu JK akitoka ikulu ataajiriwa tena na Rostam gazeti chovu la RAI aanze tena kujidai anti Govt kujaza tumbo lake

Hii haina ubishi ndo maana hata mama spika hakutaka kufutwa kwa kauli.Basi tunamsubiri daktar akiwakilishwa na kanjanja SALVA akanushe vikali
 
TINDU LISU ni kichwa sana,wabunge 100 wa CCM ni sawasawa na yeye peke yake,safi saaana LISU endelea kuwaelimisha watanzania.
 
Alikuwa anachangia kwenye bunge na akanukuu kauli ya Hosea aliyoitoa kwa balozi ya marekani kwamba rushwa kubwa zinashindikana kukomeshwa kutokana na vingozi wa juu kuzikingia kifua. Anasema Kauli hii inaonyesha hatari iliyopo kama Rais wa nchi anaingilia maamuzi ya takukuru na watumishi kwa kuogopa kufukuzwa wanaacha kuziandama rushwa kubwa.

Bila kumungunya wala kumeza meza maneno anaomba bunge hilo kujadili jambo hilo na wahusika wazomee bungeni kabla hawajakutana na nguvu ya umma. wabunge kama hawa ndio tunaowahitaji na sio wale wa ndiooooooooooooo na kupiga meza za bunge hovyohovyo

Ametumia reference za WIKILeaks?
 
Cheap politics, kuchukuwa habari za kijasusi zilizokuwa intentionally leaked na kupeleka bungeni., Hao majasusi huko kwao wanakozipeleka huchujwa na zisizo na mshiko kama hii wanazi leak, kwa wikileaks, watu wazugike na hilo wao huko wanafanya mengine. Ama kweli Lissu kichaka.
 
Magamba huwa hawajali ni watu wa aina gani wanawapitisha kugombea ubunge. Baada ya hapo loh! Ni misinzio tu na zomeazomea!
 
Cheap politics, kuchukuwa habari za kijasusi zilizokuwa intentionally leaked na kupeleka bungeni., Hao majasusi huko kwao wanakozipeleka huchujwa na zisizo na mshiko kama hii wanazi leak, kwa wikileaks, watu wazugike na hilo wao huko wanafanya mengine. Ama kweli Lissu kichaka.
kama sikosei, hata marekani walihangaika sana pale assange aliporusha mambo yao hewani hasa ya uturki, egypt, ufaransa na ujerumani

anyway, ntakapokuvua ushungi huo tutaenda bahamas tukale raha na kumshukuru Mungu
 
Lissu kichaka cha NONDO akatizi mjingamjinga kama na niiiii!Hata Dr wa ukweli aliambiwana mnafiki Samweli Sitta document zake za EPA za kwenye mtandao asizisome bungeni,akaenda mwembe yanga akawaweka hadhari mpaka leo mbivu na mbichi zinajulikana.Poleee

Cheap politics, kuchukuwa habari za kijasusi zilizokuwa intentionally leaked na kupeleka bungeni., Hao majasusi huko kwao wanakozipeleka huchujwa na zisizo na mshiko kama hii wanazi leak, kwa wikileaks, watu wazugike na hilo wao huko wanafanya mengine. Ama kweli Lissu kichaka.
 
najivunia kuwa mpiga kura wa Lissu. Jamani hicho ni kichwa. Na bado, kijana yuko kazini.
 
Back
Top Bottom