Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

Hivi Wakuu, Katika Masuala kama haya yenye sura ONEVU kwa Wananchi na Vyombo vya Habari Je hatuwezi lalamika kwenye Jumuiya za Kimataifa zinazohusika na uhuru wa vyombo vya habari ziweze kuingilia kati endapo muswada huo utapitishwa bungeni?
 
Mwanasheria huyo anapotosha anasema TBC inamilikiwa na CCM wakati kodi yake inakatwa kugharamia, basi na yeye kama mnadhimu asiruhusu kupokea fedha za ruzuku wanazopewa na Serikali ya CCM kama kila kitu cha serikali hii ni kibaya!!ukivimbewa siasa unaweza kuwa mwehu hivihivi!

Umesahau kuwa viwanja,majengo na shule za secondary zimejengwa kwa nguvu za wananchi na kwa kodi zao lakini CCM wamevigeuza na kuwa mali yao.
 
Hiyo ya saa mbili usiku haitoshi,,Wajiunge na TBC pia kuanzia saa 12 mpaka saa 2 Asubuhi,,
 
Miswada mibovu miingi itapelekwa cha msingi ukawa mjipange mpeleke wabunge weengi ili iwasaidie kupitia upya baadhi ya sheria zilizopitishwa mbovu,,huoni wakina mwiguru walikua wanazomea na ndioo leo hii wanasema wizara inatenga hela za sherehe nyingi zaidi ya kujenga zahanati hajawahi kusema wapinzani wakilisemea lukuvi anasimama,leo wanataka uraisi kwa walichokua wanapinga..ngoja tuendelee kuona hii movie
 
Ccm wa najua awana lao nisawa na mnyama anae kata roho ukiwa karibu yake anaweza kukudhuru kwani anarusha mateke sana ndio maana miswada mibovu kama hii inakuja kipindi hichi ambacho tuna chinja.
 
Hivi Wakuu, Katika Masuala kama haya yenye sura ONEVU kwa Wananchi na Vyombo vya Habari Je hatuwezi lalamika kwenye Jumuiya za Kimataifa zinazohusika na uhuru wa vyombo vya habari ziweze kuingilia kati endapo muswada huo utapitishwa bungeni?

Mambo ya ndani ya nchi yako unapeleka jumuiya za kimataifa kweli wewe inaelekea hata ndani ya familia yako unatawaliwa!
 
Miswada mibovu miingi itapelekwa cha msingi ukawa mjipange mpeleke wabunge weengi ili iwasaidie kupitia upya baadhi ya sheria zilizopitishwa mbovu,,huoni wakina mwiguru walikua wanazomea na ndioo leo hii wanasema wizara inatenga hela za sherehe nyingi zaidi ya kujenga zahanati hajawahi kusema wapinzani wakilisemea lukuvi anasimama,leo wanataka uraisi kwa walichokua wanapinga..ngoja tuendelee kuona hii movie

Inaonekana umezidiwa aisee!nitajie sheria mbovu unazozijua wewe ambazo zimekuletea madhara wewe binafsi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom