Tundu Lissu: Tutazichapa bungeni kuzuia mswada haramu wa vyombo vya habari

aah,kumbe basi ni kazi ndogo,zima matangazo,kisha ingiza fidfosi ndani na utembee mkongoto wa hatari.halafu kesho yake wakati lisu na genge lake wanatibu majeraha,mswaada upitishe.
watu 100 kitu gani bana

Mpiga domo wa CCM uko kazini kupigania TV ya CCM
 
Wabunge wa Ukawa wapo 100.Nakuhakikishia hilo bunge litavunjika.We have nothing to loose ikizingatiwa ndiyo bunge litakuwa linafikia ukomo.

mkuu hapo ni rahisi tu cha kufanyahuo muswada ukishaingia bungeni wabunge wa ukawa wauchanechane live hadharani mule bungeni na wasimame wasikae. usipate hata kujadiliwa . muswada ule unakiuka haki za binadamu na katiba yetu pia.
 
aah,kumbe basi ni kazi ndogo,zima matangazo,kisha ingiza fidfosi ndani na utembee mkongoto wa hatari.halafu kesho yake wakati lisu na genge lake wanatibu majeraha,mswaada upitishe.
watu 100 kitu gani bana

halafu hao polisi wanaishi mbinguni...
 
aah,kumbe basi ni kazi ndogo,zima matangazo,kisha ingiza fidfosi ndani na utembee mkongoto wa hatari.halafu kesho yake wakati lisu na genge lake wanatibu majeraha,mswaada upitishe.
watu 100 kitu gani bana

mkuu waambie huko lumumba. huo mswada ukishaingia tu utachanwachanwambele ya spika na ikiwezekana arushiwe aliyeuleta. zikapigwe tu tumechoka sasa.
 
mkuu hapo ni rahisi tu cha kufanyahuo muswada ukishaingia bungeni wabunge wa ukawa wauchanechane live hadharani mule bungeni na wasimame wasikae. usipate hata kujadiliwa . muswada ule unakiuka haki za binadamu na katiba yetu pia.

tutatumia silaha zote kuupinga hata kama Ni meno..
 
Tushikamane katika kupinga miswada kandamizi kama hii, na hii iwe kwa mtanzania yoyote mwenye kujali maslahi ya taifa na uhuru wa kupata habari.
 
Wewe unasema TBC inaendeshwa kwa fedha za walipa kodi wakati mchangiaji mwenzako kasema mali ya CCM?kibaya zaidi hapa tunaweka ushabiki wa vyama,mchango wako unaushabiki wa siasa bila kuiangalia taaluma nzima ya habari na mustakabali wa Tanzania tena unadiriki kusema sheria hiyo kandamizi itawanyima habari watanzania kivipi?hivi umeelewa mjadala lakini, huo muswaada umeuelewa?usipelekwepelekwe na watu waliolipwa na MOAT matajiri wenye fedha wanaotamani kufanya kila wanachotaka kwa kutumia vyombo vyao,na msimu huu wa uchaguzi watawapata wengi kwa kuwahonga airtime na coveragebkama shukrani na rushwa ya kutetea uozo wao!

Ukitaka kujua kuwa taaluma ya habari au sekta ya habari hapa Tz inahitaji sheria hii kutana na waandishi wa habari utajua maisha wanayoishi, ajira zao ziko mikononi mwa watu wanafukuzwa muda wowote hawana mikataba ya ajira, hawana mishahara inayoeleweka,ni taaluma ambayo ni shmba la bibi sasa sheria ya kuweka sawa uhaini huu dhidi ya taaluma ya habari inakuja kuwanyosha weai hao MOAT wewe nae unashadadia do you really know maisha ya journalist Tanzania?nani anawatetea hawa!Mie natamani hiyo sheria ije hata kesho waandishi walipiwe bima na kuheshimika!

Msi heze ngoma msiyoijua kwa kuangalia kipengele cha saa mbili usiku!
Naomba tuu nikuonye sana Usituseme sisi wana habari. Nenda kawaseme Ccm na TBC yenu zinazonuka Ruswa
 
sio nauza,nanunua,enye vile nakumbuka babako akiniuzia kisifuli chake,asee yule mzee acha tu.
ila nilikipanua sana mpaka naniliu yangu ikawa inapwaya mle

MwanaCCM yeyote anachokijua ni matusi tu.Hapo ndipo akili yenu ilipofikia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom