Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,587
Nawapongeza Chadema kutimiza miaka 27 katika ulingo wa siasa za Tanzania.
Lakini najaribu kufikiria 2015 Chadema ilitaka kupewa ridhaa ya kuongoza Tanzania bila ya kuwa na uwakilishi wa nchi nzima. Mh. Lissu anathibitisha hapa kwa kusema chama kilikuwa hakina watu wenye sifa za kichagulia, ndio maana waliishia kuteuwana tu.
Ni bora Lissu ametupa picha halisi la ndani ya Chadema, huwezi kushida uchaguzi wa Tanzania kama huna uwakilishi wa kila kona nchi zima.