bitare
Senior Member
- Jul 13, 2023
- 197
- 598
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu isipokua Chadema.
kama unaukalibu na Poul Makonda muulize, Atakwambia yaliomkuta baada ya kutishia kuwataja Mawazili anaodai hua Wanamtukana Rais.
Vyama vingine navyo vikomae visiogope viongozi wake kukosoana au kukosolewa bali wanapofikia maamuzi ya pamoja inakua ndo mwisho wa hoja kama Chadema.
Ndio maana watu hushangaa kuona Chadema wanapotofautiana kitazamo lakini mwisho wasiku tunaona viongozi wao wakifulahi nakuendelea kufanya kazi kwapamoja na kwa bidii.