T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Domy umemaliza kila ki2,hata hivyo dr.wa ukweli Slaa alituonya kwenye uchaguzi mkuu 2 010 kuwa kuichagua CCM ni kuchagua janga!
tena mngemchagua yeye ndio ingekuwa tetemeko la ardhi kabisa.mzee mzima anavunja ndoa za watu?anatelekeza watoto wake wa kuwazaa?anamtelekeza mke wake wa ujana anakimbilia manyama yale? Ee mungu msamehe mwenzetu