Tundu Lissu: Rais atengue uteuzi wa majaji haraka iwezekanavyo!

Kaka t.lissu kuwa makini ni v2 hiv,kulishwa sumu,kutekwa then mabwepande,kupigwa risas then wakasema walikufananisha na jambaz sugu/gar lako lilifanana na ambalo lilihisiwa kufanyia tukio uharifu na bila kusahau tindikali''take care bro

Kweli ccm imefaulu... yaani watanzania tumefikia hatua hii, tumekuwa waoga kiasi hiki hadi tunaogopa kusema ukweli!! Mtu akisema ukweli, wengine wanamtisha na mabwepande! What a bunch of pathetic people we have become!!
 
namuunga mkono tundu lissu tuna majaji vihiyo walioteuliwa kwa vigezo vya ajabu kama udini jinsia na kujuana.bahati nzuri lissu alishatoa ushahidi na serikali haikuupinga. How can such corrupt judges deliver justice while they themselves have been in power illegally?......

Jk umeweka historia kali-angalia- udini, ukabila, urafiki, fadhila kwa warembo, ufisadi, na maovu mengi! Utamteuaje jaji kwa urafiki !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hapana LISSU yuko sahihi watolewe hao majaji. Hajaingilia Muhimili mwingine tena kumbuka muhimili wa bunge ndo unasimamia mihimili mingiene we vp zinduka ujue
 
Acha ukilaza wewe,kwani hukusoma hoja alizozitoa alipoambiwa adhibitishe kwamba majaji hawana sifa!na kama utetezi wake ni utumbo mbona hajachukuliwa hatua stahiki na vyombo husika likiwemo BUNGE.na sasa amerudia kusema tena yaleyale.kwa maana hiyo wewe ndiye unaye tuwekea utumbo hapo JF
 
Katiba haimpi rais moja kwa moja uwezo wa kutengua uteuzi wa majaji,ingawa wazo la Lisu ni zuri.
 
Tundu lisu jina lako litabaki ktk historia ya wapiganaji
hili halina ubishi
komaa baba.
 
Asilimia 20 ya wabunge wa bunge la sasa ni 71.4 kwahiyo Tundu Lisu atahitaji sahihi za wabunge 72 ili kuweza kupata nguvu za kuwasilisha hoja zake kwa mujibu wa kanuni za bunge.

Ni mbunge gani wa ccm atathubutu kuunga mkono hoja hii ili kukamilisha idadi ya sahihi za wabunge zinazohitajika ili kuipa nguvu hoja hii kikanuni? hapa tuchukulie kwamba wabunge wote wa upinzani wataiunga mkono, ingawa nina wasiwasi na bwana mapesa.
 
Historia itakuja kumkumbuka JK kama rais aliyekuwa akiteua majaji vilaza ili waweze kulipa fadhila hasa kwenye kesi ambazo maslahi yake yalikuwa mashakani. Na hilo suala lilifikishwa hadi bungeni.

Hili suala litapewa uzito kwenye magazeti hivyo hata mabalozi wa nchi mbalimbali hapa nchini wataweza kuona and the fact that it was discussed in the parliament will make it exceptionally sensitive, huh! Look on the bright side
 
Salaam wanabodi.

Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Mh Tundu Lissu katika kile kinachoonekana kuonyesha msimamo wake kuhusu majaji wa Tanzania, amesema "narudia tena kama nilivyosema mwezi machi nataka rais afute uteuzi wa majaji aliowateua haraka iwezekanavyo.

Source:Star tv habari
sasa kwa katiba ya nchi hii kuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kumuamuru rais?
 
Kila mwananchi, achilia mbali mbunge ana wajibu wa kulinda katiba! swali lako ni kama vile umekurupuka! Jitahidi kuchafanya uchambuzi wa mambo kabla ya kuwasilisha kwa watu wengine hasa wenye upeo.
 
ingekuwa mimi ndio Rais halafu napigiwa kelele hivi kila siku ningetengua tu uteuzi wangu

Lakini sio raisi wetu JK, yeye hata akijua mnachosema ni kweli, kwa kuwa nyie ni wapinzani hatafanya hivyo, na sasa hivi ameshawasiliana na Werema aandae vifungu vya sheria kujinasua maana yeye ndio alimshauri na kumpa go-ahead kwa uteuzi huo. Sasa Werema na Lukuvi wanatafuta jinsi ya kumtuliza Tundu Lissu kabla hajazua balaa. Na hawa jamaa watafanikiwa tu kumtuliza kwa kishindo. Cheza na Lukuvi, Anna Makinda na Werema!!
 
Mimi nilishasema kwamba ccm invest sana kwa utaratibu wa Rushwa ili kujihakikishia support katika uovu wake toka kila upande. Mfumo uliopo wa uteuzi ni rushwa asilia kwa sababu, watu wale wanawekwa kwenye strategic posts katika njia na vigezo visivyo haki ni rushwa tayari na wale hawawezi kutetea haki kama hiyo haki haielekei ccm.
 
Lakini sio raisi wetu JK, yeye hata akijua mnachosema ni kweli, kwa kuwa nyie ni wapinzani hatafanya hivyo, na sasa hivi ameshawasiliana na Werema aandae vifungu vya sheria kujinasua maana yeye ndio alimshauri na kumpa go-ahead kwa uteuzi huo. Sasa Werema na Lukuvi wanatafuta jinsi ya kumtuliza Tundu Lissu kabla hajazua balaa. Na hawa jamaa watafanikiwa tu kumtuliza kwa kishindo. Cheza na Lukuvi, Anna Makinda na Werema!!

lukuvi amesoma makerere au UDSM?????najua makinda kapiga idm
 
sasa kwa katiba ya nchi hii kuna mtu yeyote mwenye mamlaka ya kumuamuru rais?

Wabunge wanayo mamlaka lakini wanakosa meno kwa sababu bunge limejaa wanafiki,wazalendo ni wachache.
 
Kila mwananchi, achilia mbali mbunge ana wajibu wa kulinda katiba! swali lako ni kama vile umekurupuka! Jitahidi kuchafanya uchambuzi wa mambo kabla ya kuwasilisha kwa watu wengine hasa wenye upeo.

Mkuu hujaonyesha umem-quote nani.
 
Lakini sio raisi wetu JK, yeye hata akijua mnachosema ni kweli, kwa kuwa nyie ni wapinzani hatafanya hivyo, na sasa hivi ameshawasiliana na Werema aandae vifungu vya sheria kujinasua maana yeye ndio alimshauri na kumpa go-ahead kwa uteuzi huo. Sasa Werema na Lukuvi wanatafuta jinsi ya kumtuliza Tundu Lissu kabla hajazua balaa. Na hawa jamaa watafanikiwa tu kumtuliza kwa kishindo. Cheza na Lukuvi, Anna Makinda na Werema!!

Unawaogopa wewe mla rushwa!
 
Back
Top Bottom