Tundu Lissu: Rais atengue uteuzi wa majaji haraka iwezekanavyo!

Ukweli tumechoka na siasa za cdm hasa za viongozi wake kwa kutoa matamko ya kusingizia watu..mi tindu lisu katika hili la majaji nakushauri kama kweli unajiamini na ukweli ulio nao si uwataje hao majiji badala ya kueneza uwongo umbea uliokithiri mbele ya wananchi....

Wakuu! Vilaza wa Magamba wako wengi. Huyu nae akili yake sijui haina akili. Yaani hotuba zote za Mh. Lisu T. Hujawahi kusikia wala kusoma Majaji vilaza alio wataja? Hadi wengine kwa aibu wapo hapa Open University DSM ndio wanasoma Digrii ya kwanza.

Kwa kukusaidia, mpigie simu baba Mwanaasha atakujuza walio tajwa.
 
Mleta uzi kakojoe ulale tena.unaonekana unaota.
 
Ujumbe umefika, mambo mengine viongozi huwa hawakiri hadharani kwamba walikosea. Hii issue tunasema ni mafunzo kwa vitendo hivyo sidhani itatokea tena mtu mwingine akachemsha kwa kufanya kama alivyofanya JK
 
Ukweli tumechoka na siasa za cdm hasa za viongozi wake kwa kutoa matamko ya kusingizia watu..mi tindu lisu katika hili la majaji nakushauri kama kweli unajiamini na ukweli ulio nao si uwataje hao majiji badala ya kueneza uwongo umbea uliokithiri mbele ya wananchi....
Kama ushasema ni muongo na ni mmbeya hata akiwataja itakusaidia nn? Wakati ushamuhukum muongo? Acha ujinga.
 
Ukweli tumechoka na siasa za cdm hasa za viongozi wake kwa kutoa matamko ya kusingizia watu..mi tindu lisu katika hili la majaji nakushauri kama kweli unajiamini na ukweli ulio nao si uwataje hao majiji badala ya kueneza uwongo umbea uliokithiri mbele ya wananchi....

ndugu yangu alikwisha wataja wote na hapa jamvini kila kitu kilikua wazi. ulikua wapi hii ni JF the home of great thinkers unaniangusha kuwa makini next time acha kukurupuka
 
Ukweli tumechoka na siasa za cdm hasa za viongozi wake kwa kutoa matamko ya kusingizia watu..mi tindu lisu katika hili la majaji nakushauri kama kweli unajiamini na ukweli ulio nao si uwataje hao majiji badala ya kueneza uwongo umbea uliokithiri mbele ya wananchi....

uwe na adabu we wakala wa magamba's
 
Wakuu! Vilaza wa Magamba wako wengi. Huyu nae akili yake sijui haina akili. Yaani hotuba zote za Mh. Lisu T. Hujawahi kusikia wala kusoma Majaji vilaza alio wataja? Hadi wengine kwa aibu wapo hapa Open University DSM ndio wanasoma Digrii ya kwanza.

Kwa kukusaidia, mpigie simu baba Mwanaasha atakujuza walio tajwa.

Tusiwaite vilaza jamani angalau tuseme wameteuliwa kwa system ya kulindana bila kufuata kanuni na taratibu zinazoendesha mambo yote yanayohusisha uteuzi wa majaji, tutawakatisha tamaa vijana wetu waliomaliza kidato cha sita ambao kwa bahati kutokana na kusoma shule ambazo hazijawekewa na serikali mazingira mazuri ya kusoma ikapelekea maksi kutotosha kuwafikisha chuo kikuu, hivyo tukiwaita vilaza vijana wetu wataona hakuna haja ya kusoma Diploma na kuishia mtaani huku wakijiona wana mkosi.
 
Ukweli tumechoka na siasa za cdm hasa za viongozi wake kwa kutoa matamko ya kusingizia watu..mi tindu lisu katika hili la majaji nakushauri kama kweli unajiamini na ukweli ulio nao si uwataje hao majiji badala ya kueneza uwongo umbea uliokithiri mbele ya wananchi....
ume fikiri kwakutumia makalio,kasingiziwa nini apo akati mambo yapo wazi kabisa kua Mr dhaifu kaingia choo cha kike.
 
Kaka t.lissu kuwa makini ni v2 hiv,kulishwa sumu,kutekwa then mabwepande,kupigwa risas then wakasema walikufananisha na jambaz sugu/gar lako lilifanana na ambalo lilihisiwa kufanyia tukio uharifu na bila kusahau tindikali''take care bro
atengue mnajisemea sababu raisi mwislam na mkiona majina ya kiislam kwenu shida ngumu kumeza tunajuana .ndiyo maana mmezoea hata mtu akifa oo mungu muweke peponi yaani una muamrisha hata aliemuumba utadhani pepo ni yenu acheni kuamua mambo kwa udini .
 
Kaka t.lissu kuwa makini ni v2 hiv,kulishwa sumu,kutekwa then mabwepande,kupigwa risas then wakasema walikufananisha na jambaz sugu/gar lako lilifanana na ambalo lilihisiwa kufanyia tukio uharifu na bila kusahau tindikali''take care bro
Utabiri wako ulitimia hatimaye.
 
Back
Top Bottom