Summons kwa kesi ipi wandugu?
Umeulizwa summons kwa kesi ipi? wewe unasema kesi nyingi!!Ana kesi kibao huyu.
Alidhania akipata ubunge atakuwa ameukimbia mkono wa sheria.
Judge hawezi kukurupuka kumtumia summons, there are very serious issues.
Aache kulalama na kuyumbisha bunge likiwa kazini, hakuna wa kumwonea huruma mhalifu.
Sheria ni msumeno, apambane na kesi yake.
Ana kesi kibao huyu.

Usijali, mpumbavu usema upumbavu wake na ndivyo alivyo mpumbavu huyoUmeulizwa summons kwa kesi ipi? wewe unasema kesi nyingi!!
Yani unajibu kimbayuwayu tu!
Tatizo la Lisu ni papara, anapaswa kuvipitia vifungu vya sheria ya bunge kabla hajakurupuka kuomba muongozo wa spika kutafuta cheap populality, kama sikosea hii mara ya nne sasa namuona lisu anaomba muongoza kwa papara na makinda anatumia nafasi hiyo kumzima na kumfanya aonekane hajui asemalo.
Lisu aliomba muongozo kupitia kifungu cha komba hoja ya dharura kuwa kapewa samansi wakati kikako kinaendelea na kanuni za bunge hazirunusu.
Makinda akamtaka asome mazingira ya kuwa na hoja ya dharura, ndipo ikaonekana haifit na akamshauri hayo ni mambo ya kwenda ofisini na kumaliza kwa mujibu wa vifung vya kanuni za bunge na si swala la hoja ya dharura