Kesi kibao siyo jibu, taja hata moja. Kama sheria ni msumeno kwa nini isitumike kwa watuhumiwa wa ufisadi walio wazi? Acha ushabiki...
Tena ubunifu huu ungekuwa mzuri sana kwani baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi wamo hapo bungeni, ungewarahsiishia utendaji waleta summons.