Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

As for me I stand on Hon Lisu's side. Kama michango ya wananchi ingekuwa inatolewa taarifa ya mapato na matumizi Mh Lisu asingekuwa na sababu ya kuwazuia kuchanga. Lakini wananchi maskini wanajitolea michango yao lakini hakuna accountability..go Lisu go!
 
Tanzania yetu ni nchi ya ajabu sana, hivi mwananchi anachangia pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwani katika shughuli zao mbali mbali hawalipi kodi? Kama wanalipa kodi si haki hata kidogo kutoa michango isiyoratibiwa.
Suala la maendeleo duniani kote sio suala la dharura ni kitu ambacho kinatakiwa kupangwa na kuratibiwa kupitia bajeti ya serikali.
Kufanya wafanyavyo sasa ndio kunakosababisha wananchi wasio waadilifu kuwaibia wananchi.
 
Sijui mmewahi kufika Singida? mimi natoka sehemu za Kintinku umaskini ni wa kutisha acha mbaya. Msibishane na watu ambao hawajui maisha ya huko kwetu.

Shoga wa kujificha (hajajitangaza hadharani)
Mdini
''Kaolewa na Mwanamke''
 
Tundu lisu yuko sahihi anayesema lisu hayuko sahihi ni gambo tu hope uliiona jana ile mizee yenye sigida kwenye uso na nyalandu walivyokuwa wanamzomea lisu eti yuko wrong achana na magamba bwana hakuna wanalolijua zaidiya kuwaibia wananchi, wananchi wanalipa kodi sasa michango mingine ya nini jamani mbona sisi wananchi hatujitambui kweli kweli.lisu uko juu na tupo pamoja na wewe unayoyasema ni ukweli mtupu.
 
Achana na gamba hilo....kwangu mimi naamini hata akiitwa mbele ya baraza la Yesu, Lissu atawatoa knock out mbaya maana sheria za nchi ambayo Lissu anaisim,amia inaeleza kuwa wananchi wanatakiwa wasomewe mapato na matumizi ya michango yao, Lissu anasema atawahamasisha wananchi wachange pale tu watakaposomewa mapato na matumizi. Ccm na madiwani wao wanakwepa

pamoja na kuwa sheria za nchi hii ni mbovu lakini magamba bado zinawatoa kamasi,
 
Bigap mbunge wetu lisu.pale siuyu huwa tunateswa sana na kamatakamata ya mbuzi ,ndoo,kuku n.k na asiyekuwa nayo mtendaji anaagiza awekwe ndani huku huyo mtu anakuta hata hela ya kusaga unga wa ugali tu hana je ya juchangia sekondari yetu ijulikanayo a.k.a matilu atatoa wapi?
 
YANI HAPO NAMPONGEZA LISU MBUNGE WANGU KWA MAANA PALE SIUYU TUMECHOSHWA NA KAMATAKAMATA YA NDOO,MBUZI,KONDOO,KUKU E.T.C.NA ASIYEKUA NA UWEZO WA KULIPA MTENDAJI ANATUMA MGAMBO KUMKAMATA NA KUWEKWA NDANI .ETI WANADAI WANAKUSANYA HELA ZA KUJENGA SHULE YA KATA a.k.a MATILU ILIYOPO PALE KARIBU NA NGAGHE
 
Mwandishi wa habari hii ni kati ya vihiyo wanaopenda kudanganya Umma. Fedha za Halmashauri huwa hazirudi Serikali Kuu na BAKAA hutumiwa kuendeleza miradi inayoendelea. Tundu Lisu anashindwa kuelewa jambo dogo tu hivyo kutoonyesha huo mnaouona na kuuita USOMI wake. Fedha za Miradi ya Maendeleo kutoka kwa Wahisani hutakiwa kuchangiwa na wananchi ili kupata Ownership ya miradi hiyo. Aidha, kwenye kamati ambazo Mbunge ni mjumbe wa Kamati ya Fedha na Utawala ambako taarifa zote za uendeshaji wa Halmashauri na maendeleo ya miradi hutolewa.

Katika hili naona Mbunge huyu hawatendei haki wananchi wake.
 
Ni kwa sababu ya kuzuia michango ya maendeleo hadi taarifa za michango hiyo zitolewe! Baadhi ya Madiwani wamemwagiza Tundu Lissu atoe michango hiyo toka mfukoni mwake kama hataki watu wachangie, lakini Diwani mmoja amedai kwamba anajua kwamba Lissu ni mwanasheria lakini matendo yake hayafanani na taaluma yake! Hata hivyo Tundu Lissu ameshikilia msimamo wake wa kuzuia wananchi kuchangisha michango! Kwa hiyo imeamuliwa afikishwe kwenye Kamati ya Maadili ya Madiwani ili kumjadili! Source: Habari, Star Tv. My take: Kamanda Lissu kubali tu yaishe, Jimboni kwako hali si shwari kuhusu wewe! Ni ushauri usiohitaji malipo yoyote!

akili za ccm hovyo.....huwez kujadili uwazi wa mapato na matumiz ya michango zaid ya ujinga wako huo
 
Hoja hii ni ovyo kivipi wakati nchi nzima michango inachangwa, kwa nini Singida Mashariki pekee ndio michango isiwepo?

Nchi nzima michango inachangwa wapi? Wewe sema hapo ulipo ndo mnachangishwa na sio nchi nzima. Mimi nilipo hakuna anaye thubutu kupita kuchangisha ujinga.
 
Ukomee hapahapa

734992_324091704358273_1098196544_n.jpg

Mwandishi wa habari hii ni kati ya vihiyo wanaopenda kudanganya Umma. Fedha za Halmashauri huwa hazirudi Serikali Kuu na BAKAA hutumiwa kuendeleza miradi inayoendelea. Tundu Lisu anashindwa kuelewa jambo dogo tu hivyo kutoonyesha huo mnaouona na kuuita USOMI wake. Fedha za Miradi ya Maendeleo kutoka kwa Wahisani hutakiwa kuchangiwa na wananchi ili kupata Ownership ya miradi hiyo. Aidha, kwenye kamati ambazo Mbunge ni mjumbe wa Kamati ya Fedha na Utawala ambako taarifa zote za uendeshaji wa Halmashauri na maendeleo ya miradi hutolewa.

Katika hili naona Mbunge huyu hawatendei haki wananchi wake.
 
Hata mm na Muunga mguu T.Lissu; sasa hivi bongo kila kitu kinauzwa!! Public toilet unalipa, Kutupa taka unalipa, yaani hamna hata huduma za serikali japo tunalipa kodi za kila aina. Angalia uchafu wa Dar; nadhani uchafu huu moja ya chanzo chake ni wanyonge wasio weza kulipa gharama za kuzoa taka. Hivyo hutegea usiku ufikapo na kuzitupa barabarani. Na ni chanzo cha Magonjwa ya ajabu hapa Dar. TENA ATAWASHINDA HAO MADIWANI VIBAYA SANA.
 
Tundu amewazuia wananchi kuchanga mpaka taarifa za hiyo michango itolewe,maana kuna uwezekano hayo magamba yanatumia hiyo michango kwa manufaa yao.Sijaona kosa la Lisu,hata mimi ningefanya hivyo.
 
Swali je wananchi wake wanapenda michango iendelee au hawataki????!


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
toka lissu afichue uhuni wa ccm katika muungano huu wa kinyonyaji wa serikali 2,interahamwe wapo kazini kujikusanyia buk 7 kupitia mgongo wa kupambana na lissu!
 
Tatizo kuu ni kwamba Wananchi walio wengi, kulingana na utafiti wangu hawakubaliani na vitendo vya Lissu vya kukodi vijana wa kihuni ili kuwapiga wakusanya michango! Madarasa mbalimbali ya Shule za Msingi na Sekondari ujenzi wake mpaka sasa umesimama kwa sababu ya vitisho ya Lissu na vijana wake!

Mimi natoka Singida, jimbo la Singida Magharibi.Mbona sioni tofauti ya maendeleo kati ya maeneo haya pamoja na michango tunayotoa!? Toeni taarifa ya michango.
 
Back
Top Bottom