Tundu lissu kufanya mkutano leo Arusha!

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
806
385
Atakuwa kwa pamoja na aliyekuwa mbunge wa arusha bw. Godbles Lema eneo la mwanama.
 
Jamani mbona CDM wame-concentrate sana Arusha? Kila kukicha mkutano Arusha! Maeneo mengine vp? I am just trying to be curious!
 
Mtoa mada vip mbona unatoa habari nusunusu?

Ni maandalizi ya kampeni za uchaguzi wa udiwani zinazo tarajia kuanza mapema hivi karibuni.
 
mfa maji haishi haishi kutapatapa, mwisho wa chadema arusha umefikia mwisho.

mtatiro:

Mbona unakuja kwa kujificha sana? Kuwa wazi tu au mnataka kusingizia kuwa na hiyo mikutano inafayika kwa lengo la kuwahujumu?

Wafa maji ni nyie ambao ni wapinzani wa upinzani nchini.hi haijawahi kutokea mahala popote duniani.
 
Jamani mbona CDM wame-concentrate sana Arusha? Kila kukicha mkutano Arusha! Maeneo mengine vp? I am just trying to be curious!

Hapana mkuu, sema sehemu nyingine wadau hawapo active kuleta update kama wana arusha.
 
Lissu namkubali ni mpiganaji mzuri sana kaweza kutoa ukweli kuhusu udhaifu wa majaji wa TZ kweli nakukubali mkuu nani angethubutu...
 
we cuf ngangari!!!hiv mmetumwa na nan na ili iweje!!!??swali kwako lengo lenu kuchukua dola na kuitoa ccm iliyoshika dola au lengo lenu ni kushambulia wapinzan wenzenu!!!???Tumien akili kidogo tu!!!
 
Naona watu ndio wanaingia ila idadi ya watu bado ni ndogo sana!
 
Back
Top Bottom