Tundu lissu kufanya mkutano leo Arusha!

ww unatumia kichwa kufuga nywele nn?, kwani kwani Nyololo ipo Arusha? waambie waache kuzua mikutano.
 
Mh Tundu Lissu hakuhudhuria kama ilivyotangazwa awali, Lema ndiye alihutubia. Moja ya mambo aliyoyasema ni wananchi kuisusia tbc na products zitakazotangazwa na tbc wananchi wasusie kuzinunua. Vilevile anadai judge aliyetengua ubunge wake ameparalise na kuwa kichaa!
 
mfa maji haishi haishi kutapatapa, mwisho wa chadema arusha umefikia mwisho.

CHADEMA now is a lifestyle. Ni sehemu ya maisha ya watu kwa sababu ni Imani, mwelekeo, tumaini jipya na ni sehemu ya mabadiliko ambayo Watanzania wanayataka kwa sasa kuliko kitu kingine chochote.
 
Back
Top Bottom