Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

Sisi tutafuata haki. Tahadhari yako hatuiihitaji.

Tumedhamiria sana safari hii. Bottom line tunalinda kura zetu zote kubakia salama na matokeo kutangazwa kama yatakavyo kuwa.
Kulinda kura siyo jukumu lako na hapo ndipo utakapoanzisha fujo na vikosi vya usalama vitashughulika na wewe

Piga kura nenda nyumbani mwache wakala wako wa chama asimamie zoezi la kupiga kura kuhesabu na kutangaza matokeo

Kila mmoja wetu atimize wajibu wake tusiingiliane kimajukumu
 
Mm nampenda sana Lissu lakini kusema ukweli maelekezo na vitisho vinavyotolewa na wakurugenzi kuhakikisha Magufuli anapata kura nyingi ndoo vinanionyesha Lissu hawezi shinda.Maelekezo tumpewa kuhakikisha nafasi ambazo watu hawatakuja kupiga kura kuhakikisha wasimamizi wanazipiga kwa ktiki Magufuli.Eti kila kituo Magufuli ashinde kura zaidi ya 95% ili awe popular president ili dunia itbue kuwa amefanya mengi ndani ya nchi.

Na watumishi wengi ndoo wasimamizi na wanaonyesha ni lazima wafanye hivyo ,mm jana niliwaambia baadhi ya watumish wanaosimia kuwa tunaenda kutenda hii dhambi lakini itatutafuna mpaka vizazi vyetu kwa sababu tunaenda kupokonya haki ya walio wengi.Hayo maelekezo ya wakurugenzi ni nchi nzima make nimejaribu kuulizia kwenye halimashauri nyingi nyingi wote wanasema wamepewa maelekezo hayo
Nafsi inaniuma kwa dhuluma inayoenda kufanyika alafu eti baadae warumishi tunaanza kulalamika kuwa mishahara haiongenzwi,mara madaraja hakuna na habari ya kikokotoo.
Hakuna popote pale maelekezo yametolewa kuwa lazima Magufuli ashinde hayo ni ya kwako

Wewe kapige kura wakala wako atasaini matokea na Kama Kuna lolote tofauti wakala ndiyo shahidi wewe tatizo lako liko wapi

Awamu ya tano imefanya mengi ambayo no msingi wa nchi kupiga hatua kubwa kiuchumu wenye akili wanalijua Hilo Ila wenye akili fupi na mafisadi ni ngumu kulikua Hilo na wapiga waliowengi ambao ni watu wazima wanajua Magufuli anafanya Nini ktk nchi hii Ila vijana wa mitandaoni na kutaka matokeo ya haraka na ngumu kujua na hata kupiga kura wahapigi na hapo ndipo ushindi wa CCM unapokuja kwa sunani
 
Mm hayo maelekezo nimepewa kuhakikisha kura za Magu ni zaidi ya 95%
 
Napiga kura siendi nyumbani na domo peke yangu katika hilo. Kama nimeandikiwa kuuwawa na nyie na iwe hivyo.

Lissu kapambana nanyi single handedly. Mchango wangu hata katika kifo kumtia mtu jamba jamba ICC hautakuwa bure.

Kama ni kuchagua shari mtagua nyie. Kuwaachia kuchakachua masanduku ya kura haiwezi kuwa ni option hata kidogo.

Kwani mnaaminika mumiani nyie? Tangu lini mafisi mnalazimisha kuwa ulinzi wa bucha?
Baada ya uchaguzi tutakuona hapa ukipost haulindi kura wala nn utakuwa umejificha kwenye keyboard walinda kura na watoa mhanga tunawajua
 
Mm hayo maelekezo nimepewa kuhakikisha kura za Magu ni zaidi ya 95%
Speculations zako tu hizo Dr Magufuli atashinda kwa asilimia 84 kutokana na utendaji wake wa miaka 5 iliyopita na kila mwenye akili masikio macho anajua kinaga ubaga

Hilo liko wazi wala haliitaji nguvu Sana na ndiyo maana Kuna mikoa 6 hajafanya kampeni wamekwenda Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Mikoa Kama Morogoro Katavi Rukwa Lindi Mtwara na Pemba
 
Baada ya uchaguzi tutakuona hapa ukipost haulindi kura wala nn utakuwa umejificha kwenye keyboard walinda kura na watoa mhanga tunawajua
Hao ndo watz halisi maneno mengi vitendo hakuna.....nakumbuka mpango wa maandamano ya 26 April yaliyoratibiwa na Mange Kimambi jinsi walivyokuwa home na kuangalia tv
 
Kama mna uhakika Tundu Lissu hawezi shinda kuwe na fair play. Kila kituo kibandike matokeo yake.... Kaka CCM inaamini inao ushind mezani kuna haja gani ya kuleta ujanja ujanja kwenye uchaguzi .!
 
Sijui unaishi wapi nchi hii?

Hakuna namna Magufuli anaweza kushinda bila hila na anajua ukweli huu ndio maana ameisuka NEC kwa watu wake wa ukoo.

Magufuli mwenyewe hajiamini hata kidogo ndio maana mtu mzima anapiga magoti kuomba achaguliwe licha ya kujitapa miaka 5 na madaraja anayojenga. Ongea ukweli.
Na kuongea ukweli wote nakukumbusha kuwa watanzania Ni wanafiki wamemchekea lilisu mwisho wamempiga chini
 
Mbona ilikuwa huru na haki

Anayesema hayo ni nyie watuhumiwa?

Ukiwa mtuhumiwa ni busara kuacha wasiopendelea upande wowote kutoa matamko.

Mtuhumiwa wewe ukipewa nafasi ya kujitolea hukumu hata kama umekutikana na hatia, hukumu si itakuwa uachiwe huru au upewe onyo jingine tu?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom